Project Pundit
Member
- Mar 3, 2022
- 27
- 40
Ni muda sasa kila nikitaka kudownload file nashindwa. Nikigusa kwny pdf hakuna action yoyote. Naombeni msaada
Ukiomba msaada wa kufafanuliwa jambo jitahidi basi kidogo weka details.Ni muda sasa kila nikitaka kudownload file nashindwa. Nikigusa kwny pdf hakuna action yoyote. Naombeni msaada
Ukiomba msaada wa kufafanuliwa jambo jitahidi basi kidogo weka details.
1. Una download kutoka wapi (site gani).
2. Unatumia kifaa gani (simu, computer etc)
3. Unatumia browser gani
4........
Sasa ukiweka tu bila details hata mtu ambae angeweza kukusaidia anashindwa aanzie wapi.
Anyways Moderator JamiiForums msaidieni kuweka uzi jukwaa husika.
Soma tena nilichoandika kisha jibu kiufasaha.Kwenye app, na hata niki-log in kwa kupitia Web ya browser za chrome na safari bado inagoma.
Kwenye app, na hata niki-log in kwa kupitia Web ya browser za chrome na safari bado inagoma.