Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello ndugu zangu naomba kuelimishwa namna gani naweza kuunganisha fingerprint kwenye mlango na smartphone. Mwenye uelewa a share na mimi. Nahitaji kuongeza watumiaji wa mlango na kuset password...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya Apple kuzibana Apps zote zinazotumia internet kwenye kupiga simu kama WhatsApp, Telegram, facebook nk katika iOS yao mpya iOS 13 itakayozinduliwa Septemba mwaka huu Huamuzi huu ni...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mara ya mwisho kuongelea haya ilikuwa ni 2008, wakati huo tulikuwa bado tunabamizwa zaidi ya sasa, lakini mambo yamebadilika. The below rates are the current rates of our ISPs in Tanzania, as of...
3 Reactions
39 Replies
20K Views
Habari za hapa na pale wana jamvi! Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus. Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie. Nitashukuru sana wakuu wangu.
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa? Ni nini faida na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Wakuu mafundi na wana teknolojia ya simu nisaidien hili simu yangu ndogo ya Nokia ina sauti ndogo ya kusikiliza . Hata kama nikiongeza mpaka mwisho napo sauti ni ndogo hadi niweke loudspeaker ndo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba mnifahamishe, hivi kati ya XIAOMI na OPPO ni ipi imezidi ubora katika maeneo mengi ya specifications? Nataka kununua Redmi Note 9 Pro je inafaa?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Technicians mnisaidie swali hili mana google siwaelewi elewi!
2 Reactions
4 Replies
644 Views
Wapendwa ukiachana na Videoder naomba kufahamishwa app nzuri ya kudownload video kutoka YouTube na kwingineko kwingi
2 Reactions
17 Replies
17K Views
Nimekuwa interested na Tvset za Itel, kwa picha zinaonekana ziko bomba na future kali sana. Shida sijui zinapatikana wapi, kwenye post zao awasemi wanapatikana wapi, maduka yao yako wapi pia...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI). Pia, kati ya Nchi 155...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Sorry wakuu PC yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila inawaka then inaanza kuzunguka feni kwa kelele, vipi tatizo linaweza kuwa nini na nnasolve vipi?
1 Reactions
9 Replies
44K Views
1. INFINIX HOT S4 2. SAMSUNG GALAXY A10 3. TECNO POUVOIR 2 PRO
5 Reactions
263 Replies
47K Views
Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili. Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu naomba elimu kuhusu hilo, mimi ni mbumbumbu katika haya masuala. Nilikuwa napitia Aliexpress nkawa naona bei za simu ziko chini mno kulinganisha na gsmarena au uhalisia wa huku madukani...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nashida na mtu anaejua namna ya kuhack/kurudisha akaunti ya instagram, tafadhali ni pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Model; Hp probook 450 G4 Processor; Intel(R) Core(TM) i5-7200UKPU @ 2.50GHz (4 CPUs),-2.7GH Ram ; 8gb Storage: 1tb Gpu ;nvidia geforce 930mx dedicated 2gb(vram Batterylife ; 4hrs movie Price...
1 Reactions
5 Replies
807 Views
IntelPetro Pump Automation With Accounting & Inventory Management Software naomba wenye ujuzi na hii software au hata kama ipo nyingine hapa kwetu je ni nzuri ? Ina meet requirements zote za...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Back
Top Bottom