Msaada: Kununua Laptop nje ya nchi

Msaada: Kununua Laptop nje ya nchi

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Habari naomba kuuliza kwa mwenye kujua site ambayo ni trusted kuuza laptop nje ya nchi anijuze
 
Issue shipping ila Amazon na ebay zipo za kutosha.

Kama unanunua laptop za bei (zaidi ya milioni) unaweza agizishia. Ila hizi used zetu za laki kadhaa vyema ununue hapa hapa nchini
 
Issue shipping ila Amazon na ebay zipo za kutosha.

Kama unanunua laptop za bei (zaidi ya milioni) unaweza agizishia. Ila hizi used zetu za laki kadhaa vyema ununue hapa hapa nchini
Chief nina laki tano keshi unashauri used yenye spec zipi kwa hapa bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom