FanXian
Member
- Aug 4, 2020
- 10
- 6
Kwa wale watumiaji wa Facebook Monetization naombeni Tips za jinsi ya kujaza Form W-8BEN kwa usahihi.View attachment fw8ben.pdf
Mkuu hii form hata sio ya FB utaijaza pale utakapokuwa unalipwa na kampuni za US lakini wewe hukai US.Kwa wale watumiaji wa Facebook Monetization naombeni Tips za jinsi ya kujaza Form W-8BEN kwa usahihi.View attachment 2148369
Je, Part II ya form uliijaza? Waweza nisaidia jinsi ulivyo jaza hiyo sehem ya pili ya form. Form nimeiambatanisha kwenye hii postMkuu hii form hata sio ya FB utaijaza pale utakapokuwa unalipwa na kampuni za US lakini wewe hukai US.
Mimi nimewahi ijaza kama mara tatu ila kwa issue tofauti na FB. Sehemu ambazo zilikuwa hazinihusu nilikuwa natia N/A.
Nikatuma na maisha yakaenda hivyo