Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii simu imenivutia, japo upande wa Charger 18w,Resolution hauridhishi, pia haina memory card slot (sio ishu kubwa) Mimi si mtaalamu sana wa haya mambo. Pia si mpenzi wa picha, camera sio ishu...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Naombeni msaada, ninatumia IE version 8 lakini sasa nikiclick link ili tab nyingine ifunguke au media player link itokee etc tab/link inatokea lakini iko empty inasearch indefinately. Kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze...
1 Reactions
0 Replies
321 Views
Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha...
0 Reactions
8 Replies
666 Views
Tunaweza sema Hello champion phone ๐Ÿ˜‰ Apple inatarajia kuachia simu mpya ya iphone 17 series miezi mitatu mbeleni kuanzia sasa. Toleo jipya la iphone 17 pro & 17 pro max itakuja ikiwa Muonekano...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajamii forum kwa yoyote anayejua mfumo au jinsi ya kucheza zile mashine za bonanza ikiwemo teknolojia na weakness za ile mashine tujuzane humu tupate elimu
2 Reactions
44 Replies
28K Views
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums! Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha...
3 Reactions
8 Replies
886 Views
Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada. Sijui kama hili tatizo nalipata Mimi mwenyewe au na wengine mmekumbana nalo leo. Tangu asubuh nikijaribu Ku attach file haitaki kabisa na wala mails haziendi. Kuna kitu...
0 Reactions
7 Replies
988 Views
AI: Akili ya Bandia โ€“ Faida na Changamoto Zake Akili ya bandia (AI) ni teknolojia inayoweza kujifunza, kufikiria, na kutenda kama binadamu, lakini kwa kasi na ufanisi mkubwa zaidi. Inajumuisha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wadau Nimezurula kariakoo mpaka nimechoka natafita usb switch sio usb hub usb switch ipo hv nina pc 3 na nina zitumia mara kwa mara kwa kaz mbalimbali sasq nikawa natafuta mfumo utakao...
1 Reactions
10 Replies
648 Views
Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App...
1 Reactions
12 Replies
893 Views
Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa...
3 Reactions
10 Replies
779 Views
Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
1 Reactions
12 Replies
624 Views
Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako. Nawasilisha
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
11 Reactions
97 Replies
5K Views
Nashindwa kuelewa kwanini app hii inaishia ku loading sana bila kufunguka? Au bado imefungiwa?
2 Reactions
7 Replies
721 Views
za saa hizi wanajamvi rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa asante
2 Reactions
68 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ