Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
8,413
Reaction score
10,512
za saa hizi wanajamvi
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa

asante
 
Ukijifunza ikusaidie nini? badala ya kujifunza mbinu mpya za kutafuta riziki halali,kusoma novel uwe na akili pana unawaza mabomu ya nini Tanzania yetu ya aman itabid tukutambue jina lako halisi na mahali unapoishi kwa sababu kila raia ni mlinzi wa Taifa lake!
 
Wasiliana na Makao Makuu ya Polisi kitengo cha operation na Mafunzo watakuwa na maelekezo mazuri zaidi juu yako!
 
Ukijifunza ikusaidie nini? badala ya kujifunza mbinu mpya za kutafuta riziki halali,kusoma novel uwe na akili pana unawaza mabomu ya nini Tanzania yetu ya aman itabid tukutambue jina lako halisi na mahali unapoishi kwa sababu kila raia ni mlinzi wa Taifa lake!

dizain kama umepanic hiv kwani mkuu haya mabomu si yanatengenezwa au? sasa mi napenda ubunifu wake tutanunua silaha mpaka lini
 
Yani nisipolipua mkutano wa Mwigulu au Nape mwaka huu.
 
hii nzuri sana hili wazo nilikuwa nalo kitambo nashukuru mleta uzi....
 
Kuna MTU anatafta kitu hapa.......mtoa mada unataka la kienyeji au la kisasa? Sema mission yako ili nikusaidie....
 
Back
Top Bottom