Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wasalam Wakuu naombeni msaada najua kuna wataalamu humu maana mimi nimehangaika weeeh mpaka YouTube mpaka sasa nimekula tutorial kama 3 ila wapi sijatoboa Screen nikiwasha inaanza kama kawaida ita...
4 Reactions
108 Replies
3K Views
Kama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
3 Reactions
21 Replies
886 Views
‌ Leo nazungumzia virus aina ya SHORTCUTS Hawa ni wasumbufu sana na ni hatari, Wapoje? Wanasambazajwe? Madhara yake nini? Tiba yake nini? Tuende pamoja. Virus hawa sijajua chanzo chake ila...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki. Shida ni nini salio la kifurushi
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei...
0 Reactions
5 Replies
826 Views
Nicheki +255 0756704145 - Hii tovuti nilimtengenezea mwanajamiiforum Meneje wa Kampuni, tovuti kama hii natengeneza kwa 500,000 Tsh bei kitonga kabisa, karibu. Kama unahitaji mfumo wa kutunza...
0 Reactions
10 Replies
484 Views
Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti)...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
JINSI YA KUONGEZA KASI YA KOMPYUTA YAKO KWA DAKIKA CHACHE — HATA KAMA WEWE SI MTAALAMU WA TECH Na ITSMALEKOGJ Kuna wakati kompyuta inakuwa nzito, haifungui programu kwa haraka, na kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
657 Views
SEHEMU 4 ||||| Unataka kujifunza programming na uwe na uwezo wa kutengeneza programu mbalimbali? Java ni lugha bora ya kuanzia! Na sehemu muhimu sana ya Java ni Control Statements (Kauli za...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Katika Advancement ya AI zikiwepo Grok, Gemini, Chat Gpt, Deepseek, muhimu sana kujifunza programming maana unaweza kuletewa program ambazo hujui maana yake ukaenda kutengeneza kitu ambacho...
3 Reactions
7 Replies
873 Views
Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection...
1 Reactions
3 Replies
839 Views
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Naona watu wengi wakipata free internet...wanaishia kukosa kabisa cha kufanya... inashangaza sana.. We ukipata free internet utatumiaje??
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari wa coding. Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI...
31 Reactions
126 Replies
9K Views
Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea...
4 Reactions
5 Replies
483 Views
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko...
0 Reactions
6 Replies
636 Views
🗯️ Gharama ya bando imekua kubwa sana watu wengi wamekua wakilalamika juu ya Matumizi ya intaneti kwenye simu zao. Wengi wanalalamika mabando yanakwisha mno unajikuta bando la 1Gb linakwisha ndani...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Program ya Spotify imeleta feature mpya kwa Watumiaji wa Instagram ambapo kupitia app ya Spotify utakua na uwezo wa kushare kile unachosikiliza kwenda Instagram. Inawezekana ukawa unasikiliza...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Back
Top Bottom