Habari wakuu!
Naombeni msaada kidogo nimekwama hapa natumia python programming language. Nimeshindwa kuzielewa kabisa na jinsi ya kuzitumia. Bado najifunza ndio nipo kwenye object-oriented...
Habarini wanduguuu!!
Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu..
Sijajua Kwa mitaa ya posta ni...
Jamani nimrkutana na changamoto Natumia Windows 7 ultimate 64bit.haina Antivirus.Juzi hapa wameniingilia Kibaya walichonifanyia Wameingia Kwenye Software Zanguu zote ambazo hazikuwa kwenye Zip...
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu, mimi na ujanja wangu wote wa simu kompyuta na mitandao ila nashindwa kuweka picha zangu gugo. Naamini watu tukihitaji picha za watu furani maarufu au kutaka...
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria.
Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidogo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi.
Naamini kuna tatizo mahali...
Miezi kadhaa iliyopita nilikidhi vigezo vya 4000hrs na 1000subs baada ya kujaribu mara kadhaa ku request PIN kwa ajili ya adress verification leo naona imefika posta.
NB:
1. Adress nimetumia ya...
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya...
Habari marafiki.
Hii ni post yangu ya kwanza hapa.
Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa APK Application ya MT Newswire. Hii ni application inayotoa taarifa za matukio ya kiuchumi duniani.
Natanguliza shukrani
Spotify na Netflix wanakuwezesha kupata soundtrack na nyimbo kutoka kwenye filamu au tamthilia zako pendwa za #Netflix, orodha za nyimbo, podcasts na mengi zaidi katika sehemu moja kupitia Netflix...
Habar wadau mdogo wenu leo nimeshuka chini kidogo upande wa hardware ili nijue processor inafanyaje kazi na sio kuandika tu program kila siku bila kujua huko chine kukoje
mm sijaja kuwasumbua...
Hii ni kwa wale wanaojifanya eti wapo USA kumbe wapo bongo inawafaa sana hii(samahani km nmekwaza mtu).
1-Tembelea https://signup.voxox.com/signupvoxox kisha jaza form hapo
2-Ingiza namba...
Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network
ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia
japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au...
Msaada nimepiga window 10 nikaformat data
All files zimepotea
Msaada naweza kuzipata data ?
Kama ndio nifanyaje? Nani atanisaidia au wapi nitasaiidiwa?
Akhsante
Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka...