Pata namba ya US bure na unaweza kuitumia kwenye WhatsApp

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
195
Hii ni kwa wale wanaojifanya eti wapo USA kumbe wapo bongo inawafaa sana hii(samahani km nmekwaza mtu).

first.png

1-Tembelea https://signup.voxox.com/signupvoxox kisha jaza form hapo

second.png

2-Ingiza namba yako ya sim inayotumika kwani watakutumia confrimation code kisha Submit

thhird.png

3. Ingiza confirmation code uliyotumiwa kwenye namba ya sim uliyojaza kwenye step #2

fourth.png

4. Hapo utapewa namba yako sasa iyozungushiwa oval, click Window icon ku download voxox app kisha install

fifth.png

5. Open voxox baada ya kuinstall kisha login kutumia info ulizojaza step #1

sixth.png

6.Then tayar umemaliza, unaweza kutumia namba uliyopewa kwenye step #3 km kwenye viber whatsapp nk. make sure voxox ipo online ili uweze ku receive confirmation codes za either whatsapp au viber nk.

Note: I will not responsible for anything happens when u use that number.
 

Chris41

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
629
500
haahahahaha hii kitu ya kwel mazee,,, now nazingua watu npo marekan n wanaamini.... hahha
 

Mwalupale

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
1,054
1,500
Mkuu nimejaribu lakini sms ya verification code wala haitumwi aiseeee...!, tatizo ni nini??
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,415
2,000
Unaweka vocha za wapi?

Unaweza kupiga simu na kutuma sms za kawaida ambazo sio za Whattsap?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom