Mwanza sehem gani napata PC nzuri kwa bei nzuri

njoo dodoma nikuuzie yangu nzuri ni dell core i3 kwa 280k kama hutojali nikutumie au kama una mtu huku tukutanishe tatizo lake ni betry tu ila ukiipata hutojuta watoto walilazimisha kuwasha ikiwa haina moto betry ikafa.

inawaka kukiwa na umeme.
ukinunua betry yake ni 6hrs bila kboost na ukiwa online umewasha data.
 
Kwa nini usi nunulie wewe iyo betri

Akili mtu wangu
 
njoo dodoma nikuuzie yangu nzuri ni dell core i3 kwa 280k kama hutojali nikutumie au kama una mtu huku tukutanishe tatizo lake ni betry tu ila ukiipata hutojuta watoto walilazimisha kuwasha ikiwa haina moto betry ikafa.

inawaka kukiwa na umeme.
ukinunua betry yake ni 6hrs bila kboost na ukiwa online umewasha data.
Hii hapana
 
Wadau msaada sehem gani au duka gani wanauza PC nzuri kwaajili ya kazi za kawaida sio gaming
Kama haujapata pc njoo nikupe sony imenyooka sana
Nipo Magu,mkoani mwanza ..PROCESOR DUAL CORE
RAM 4 GB ,HDD 1 TB , BETRI 3 hours ... Price 380,000/-

sent from HUAWEI
 
Tuma umu tuione
Picha za pc hizo hapo
IMG-20220202-WA0001.jpg
View attachment 2123114View attachment 2123113

sent from HUAWEI
 
Kama haujapata pc njoo nikupe sony imenyooka sana
Nipo Magu,mkoani mwanza ..PROCESOR DUAL CORE
RAM 4 GB ,HDD 1 TB , BETRI 3 hours ... Price 380,000/-

sent from HUAWEI
Nashukulu kaka napenda kununua dukani
 
njoo dodoma nikuuzie yangu nzuri ni dell core i3 kwa 280k kama hutojali nikutumie au kama una mtu huku tukutanishe tatizo lake ni betry tu ila ukiipata hutojuta watoto walilazimisha kuwasha ikiwa haina moto betry ikafa.

inawaka kukiwa na umeme.
ukinunua betry yake ni 6hrs bila kboost na ukiwa online umewasha data.
tuone hiyo dell mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom