Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
Wakuu mpo
Kuna shida uku wadau Sisi wengine kubana matumizi ni pambo la lazima sasa kuna shida huku Kuna ofisi mbili zinajitegemea na zipo mbali mbali ila tunashare internet ya ZUKU.
Main...
Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo...
Futa History ya Google search kwenye iphone na Android
Unahitaji kuondoa histori ya vitu ulivyovitafuta kwenye google search kupitia , chrome , Mozilla , Safari nk ili watu wasijue ulikua...
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.
Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
[emoji432][emoji432][emoji432][emoji432]
Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au...
Sijui ilitakiwa iitwe 'smart phone graphics designer' au mobile phone (km limekaa kizaman hv [emoji2]) anyways kmsing tittle imeeleweka au sio?. [emoji106]
Ok, hii thread itahusu na ni makhsus...
Uzi umejielezea kwenye Title!!.
Mchango wa mdau;
brAin cRacker
Mkuu mtu ukisipoweka lock simu ni rahisi kuona password akifungua chrome>setting>basics>password anaona login details zote ulizo...
Wakuu salamu,
Nina Facebook page yangu inaitwa "Mkatoliki Imara"..ni page iliyokuwa ina post content za dini tuuu.
Kuna jamaa waliidukuwa na wakaniondoa kuwa admin,ila details zangu zote bado...
Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela
Deadline ya kuingia 31-05-2021
Tusipitwe na fursa hii muhimu...
Mwanzoni Kabla ya iphone ilikua na majina mengi ilianzia kwenye iPad , Kisha telepod, mobi alafu tripod ndipo wakamua kuita Iphone.
Iphone ni Aina moja wapo ya smartphone iliyotengenezwa na...
Habari wakuu!
Naombeni msaada kidogo nimekwama hapa natumia python programming language. Nimeshindwa kuzielewa kabisa na jinsi ya kuzitumia. Bado najifunza ndio nipo kwenye object-oriented...
Habarini wanduguuu!!
Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu..
Sijajua Kwa mitaa ya posta ni...
Jamani nimrkutana na changamoto Natumia Windows 7 ultimate 64bit.haina Antivirus.Juzi hapa wameniingilia Kibaya walichonifanyia Wameingia Kwenye Software Zanguu zote ambazo hazikuwa kwenye Zip...