Kawaida Jukwaa hilo la mitandao ya kijamii huwa na kikomo cha machapisho hadi herufi 280 na kusema hatua hiyo ni kuboresha huduma kwa wateja wao.
Majaribio hayo yanatarajiwa kuchukua muda wa...
Guyz habari zenu, naombeni Msaada kidogo hapa
Simu yangu nimeipoteza kwa bahati mbaya tu nina siku ya 6 leo, nikipiga inaita mpaka leo hii. Nikituma sms zinafika, ila najibiwa kuwa sitarudishiwa...
Wakuu nilikua nataka laptop kwa matumiz mbalmbal ila nmekuta zingine zina nvidia geforce.
Sasa kwa mfano Mimi ni mtu wa PC games kama far cry,NFS,col of duty na mengine hasa racing na games za...
Wakuu nataka ninunue domain Godady Sasa naomba kujua kwanza kama Godady wanafanya Hosting??
Lakini pia kama hawafanyi basi ni njia Gani naweza kutumia ili nifanye hosting ya bei Chee.
Msaada...
Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short...
Habari wakuu.
Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10.
Nimejaribu ku-freezer kwa app...
Habari wakuu Tech,Gadgets
Kuna wakati unakuwa huhitaji baadhi ya apps au huzitumii kwa wakati husika,
Mara nyingi hizi apps zinakuwa zinapunguza SPEED, zinatumia CHARGE kwa kiasi kikubwa...
Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana.
Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.
Hi mambo niaje...
Kwa wale wapenda burudani ya music kama mimi,
Equlizer Apo ni software ya window inayokupa uwezo wakuset usikivu wa music kwa naamna unavyotaka wewe
Software hi inakuja na uwezo...
"Mnaionaje ile simu ya "INFINIX HOT 10 PLAY" yenye RAM 4,na GB 64, na 6000mah.kwa aliewahi au anaeitumia vipi ni simu nzuriii wadau???,nielekezeni mwanzenu.
Habar zenu wakuu wa humu ndani,
Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama.
Je, nichague circuit breaker yenye rating...
Ndugu zangu habari za leo??
Samahani nina shida kwenye simu yangu ya iPhone 6plus S, yaani kuchaji ni kwa shida sana maana chaja mpaka uikunje.. Nikaacha kuitumia kwa muda wa kama miezi miwili...
Kampuni kubwa ya kiteknolojia ya Marekani Apple imekuwa kampuni ya kwanza kupata hesabu ya soko la hisa ya $3tn (ยฃ2.2tn).
Bei ya hisa za kampuni hiyo ilipanda kwa karibu asilimia The firm's share...
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฒ๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐ท๐ถ๐ฝ๐๐ฎ
Hatimaye mambo mazuri yanazidi kunoga kwenye Whatsapp baada ya kuongeza nafasi ya kuweza ku add watu wengi. Zaidi kwenye ma groups !!
Tunajua kuunda vikundi...