Simu imepotea lakini bado inapatikana

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Guyz habari zenu, naombeni Msaada kidogo hapa

Simu yangu nimeipoteza kwa bahati mbaya tu nina siku ya 6 leo, nikipiga inaita mpaka leo hii. Nikituma sms zinafika, ila najibiwa kuwa sitarudishiwa simu. Najiuliza ni nani huyu.

(simu yangu ilipotea kipindi nipo chuoni, muda wa kujiandaa na mtihani, i think niliweka mahala sio sahihi)
Inaniumiza maana ina kila kitu kwa kujiandaa na mtihani wangu wa mwisho mwezi ujao(UE).

Imei ninayo
EMAIL ipo

Nisaidie namba ambayo nitajua ipo sehemu gani(location)

Hata kumjua huyo alie nayo simu yangu.

Ahsanteni.
 
Bado anatumia line zako?
 
Sasa si u block line mkuu au unajua utaipata tena
Kama nimemuelewa vyote kwake ni muhimu lakini zaidi ni hiyo simu maana ina materials zake za kujiandaa na mitihani

Mleta mada,nenda polisi toa maelezo kama uliyoyatoa hapa onyesha hizo sms mlizojibizana na unaedhani ni mwizi wako kisha uwe na chochote mkononi waambie unataka mumfate alipo inawezekana ni rafiki yako ameamua akusumbue tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom