Hosting Kwa Buku tu

Hosting Kwa Buku tu

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Wakuu nataka ninunue domain Godady Sasa naomba kujua kwanza kama Godady wanafanya Hosting??

Lakini pia kama hawafanyi basi ni njia Gani naweza kutumia ili nifanye hosting ya bei Chee.

Msaada please [emoji120]
 
Godaddy wanafanya hosting na domain wanatoa ila iyo $0.99 ni kwa mwaka tu baada ya apo bill utayoletewa mwaka unaofata utaishia kutelekeza web yako lakini Godaddy wako vzur sana kwenye domain na host we nunua tu Mkuu
 
Achana na Godaddy kama upo serious, tafuta provider wengine kama Namecheap.

Na hosting shared zipo nexusbyte utapata za dola moja (kama 2300 kwa mwezi)

Kama bado ni ghali, cheki website inaitwa lowendtalk zipo za kutosha za dola 5 kwa mwaka sema ni vikampuni vidogo visivyoaminika, ebay pia unapata.
 
Mbona hosting agents kibao tu wamejaa bongo.Kama kwel mtu uko serious huwez nambia utashindwa kulipa angalau 150,000/= kwa mwaka..

Assurance nayoipemda kufanya kaz na hawa watu ambao ofis zao zipo Tanzania ni kwamba incase if anything u r rest assured they will sort
 
Samahani nje ya mada.
Kuna simu zenye uwezo wa battery zaidi ya 6000mAh? Na bei zake zikoje maana nahitaji simu ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya whatsApp
Achana na Godaddy kama upo serious, tafuta provider wengine kama Namecheap.

Na hosting shared zipo nexusbyte utapata za dola moja (kama 2300 kwa mwezi)

Kama bado ni ghali, cheki website inaitwa lowendtalk zipo za kutosha za dola 5 kwa mwaka sema ni vikampuni vidogo visivyoaminika, ebay pia unapata.
 
Samahani nje ya mada.
Kuna simu zenye uwezo wa battery zaidi ya 6000mAh? Na bei zake zikoje maana nahitaji simu ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya whatsApp
Sawa mzee grupu admin....hata mimi ni admin lakini nashindwa kuliendesha grupu vizuri kila saa chaja inaisha.. ni kazi sana kuwa admin....lawama zote kwangu....
 
Godaddy wanafanya hosting na domain wanatoa ila iyo $0.99 ni kwa mwaka tu baada ya apo bill utayoletewa mwaka unaofata utaishia kutelekeza web yako lakini Godaddy wako vzur sana kwenye domain na host we nunua tu Mkuu
ASANTE mkuu
 
Umewaza mbali sana. Group likusaidie nini wakati huu wa ku-make money online? Kuna watu wananitafuta kutoka nchi mbalimbali kutoka East Afrika, india, Nigeria n.k wakitaka huduma yangu Phone Repair. Ukiwa Offline pesa inakupita
Sawa mzee grupu admin....hata mimi ni admin lakini nashindwa kuliendesha grupu vizuri kila saa chaja inaisha.. ni kazi sana kuwa admin....lawama zote kwangu....
 
Samahani nje ya mada.
Kuna simu zenye uwezo wa battery zaidi ya 6000mAh? Na bei zake zikoje maana nahitaji simu ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya whatsApp
Wingi wa Mah si kigezo pekee cha ukaaji Chaji. Simu zipo zenye 7000mah na kuendelea ila unakuta sometime zinapitwa ukaaji Chaji na simu za 5000 ama 4500 mah.

Pitia gsmarena list ya simu zinazokaa na Charge
 
Kuna hostinger, namecheap wana bei nzuri sana kwenye hosting kuliko godady! uzuri wa makampuni ya nje supporting team iko active sana 24/7 kesi yako inakuwa solved hizi kampuni za hapa nchini wakitoka ofsini muda wa kazi ndio mpaka kesho, lkn pia na wao sometimes wanategemea nje maana ni kama wachuuzi tu shida kubwa ikitokea na wao hawezi kusolve inabidi wasubiri mpaka marekebisho yafanyike huko! so ni bora kutumia makampuni ya nje ambayo customer service kwao ni kipaumbele na wako active kuhakikisha mteja ana kuwa satisfied na huduma yao.
 
Back
Top Bottom