chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,819
- 26,180
Habari wakuu Tech,Gadgets
Kuna wakati unakuwa huhitaji baadhi ya apps au huzitumii kwa wakati husika,
Mara nyingi hizi apps zinakuwa zinapunguza SPEED, zinatumia CHARGE kwa kiasi kikubwa kwenye simu.
Naomba tujuzane apps nzuri hasa kwa simu aina ya android iliyofanyiwa rooting, pia apps nzuri za kusevu chaji.
Thanks.