Je, supercharge ya oraimo intafaa kwa betri la 2000mAh

Je, supercharge ya oraimo intafaa kwa betri la 2000mAh

Hiyo charger output yake ni Watt ngapi? na charger OG ya simu ni Watt ngapi?

Kama output ya hiyo oraimo ni kubwa,
Jiandae ku badili betri.
Changamoto utakazo kutana nazo ni betri kuvimba.
 
Hiyo charger output yake ni Watt ngapi? na charger OG ya simu ni Watt ngapi?

Jiandae ku badili betri.
Changamoto utakazo kutana nazo ni betri kuvimba.
Charge OG Ni 5V----1A oraimo Ina 5V-----2A
 
Tumia tu charger OG ya simu.

Mimi ni muhanga wa issue hiyo.
Uwezo wa charger ya simu ni 18W.
Nikawa natumia charger ya 33W.

Imefanya ni badili betri mara 2. Bila kujua shida ilikuwa ni hiyo.
Asante Sana aisee
 
Tumia tu charger OG ya simu.

Mimi ni muhanga wa issue hiyo.
Uwezo wa charger ya simu ni 18W.
Nikawa natumia charger ya 33W.

Imefanya ni badili betri mara 2. Bila kujua shida ilikuwa ni hiyo.
Simu ilikuwa inapata moto? Battery zinakufa sana kwa joto.

Mkuu Superpower angalia specs za simu yako, inasuport charger gani, kuna baadhi ya simu zinakuja na slow charger lakini zina uwezo wa ku support charger nzuri zaidi.
 
Wakuu ni wape update kidogo kwamba charger nilionunulia simu ina output ya 5V----1A lakini ina charge mda sawa na oraimo mpya yenye output ya 5V-----2A na bila kupata joto lolote
JPEG_20220626_214443_8181735973485249405.jpg
JPEG_20220626_214644_5016789238218735106.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom