๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ถ?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Ikitokea umeingia google na kuandika " how to know or how to tell if my computer has been hacked" utapata machapisho mbalimbali zaidi ya milion 35.7 juu ya kile ulichouliza ".

hapa Tunajifunza kuwa ni jinsi gani usalama wa mitandao ulivyo umuhimu kwenye karne hii ya Teknolojia.

Watu wengi wanasema kuwa inabidi huweke maneno ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ Ili kuwa salama Mtandaoni !! shida ni kuyambuka ndo changamoto maana yake watu wengi huamua kuhifadhi baadhi ya taarifa zao mbalimbali kwenye notebook au vikaratasi !!

Njia hii sio salama kabisa pia sio nzuri, ni Rahisi kudukuliwa. Kwaiyo nitumie njia gani kuwa salama ?? Fikiria kuhusu ๐˜๐˜„๐—ผ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ต๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป !!

๐—ง๐˜„๐—ผ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ต๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป au unaweza kuita two ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฝ ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ต๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป (๐Ÿฎ๐—™๐—”) , ni njia itakayoweza kulinda taarifa zako za mtandaoni kwa kuongeza ulinzi zaidi wakati una log in kwenye mitandao yako ya kijamii. Teknolojia hii imekuja kuwasaidia watu kupewa msaada wa kiulinzi zaidi.

Unajua mara nyingi watu wengi wanatengeneza password (maneno ya Siri) ambayo ni dhaifu sana hivyo inakuwa ni Rahisi watu kudukuliwa.watu wengi wanatumia password za ๐Ÿญ๐Ÿฎ๐Ÿฏ๐Ÿฐ๐Ÿฑ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿด au wanachanganya na majina yao hivyo ni Rahisi kudukuliwa ndani ya sekunde 140.

Wakati ukitumia ๐Ÿฎ๐—™๐—ฎ unakua salama, Ili kuingia kwenye akaunti yako lazima mtu haweke msimbo (codes) utakazo tumiwa wakati una jalibu ku log in kwenye kifaa chako.

Kwa sababu ikiwa mtu anayo password pamoja na username yako atahitaji pia kupata Code zilizokuwepo kwenye line yako Ili kuingia kwenye akaunti yako so inakua ngumu kuingia mpaka akupigie na kukuomba code.

Ukiwa unahitaji kuwa salama Mtandaoni ni wakati wa kutumia ๐—ง๐˜„๐—ผ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ต๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป tuachie maoni akaunti yako unalinda kwa njia gani ?
 
mkuu 2fa ni nourri ila hiyo 2fa usitumie bora utumie email na Google authentificator lakini sio ufanye sijui na namba ya sim unaweza ukajuta, utakapopoteza hiyo namba.
 
Mimi utumia strong password yenye mchanganyiko wa namba herufi na special characters na ahakikisha sio chini ya 18.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom