Twitter account permanently susspended; msaaada tutani!

dongbei

Senior Member
Jan 18, 2013
151
140
Habarini wana jf,

Kama title inavyojieleza.

Account yangu ya twitter ilifungiwa kwa muda usiojilikana na nikatumiwa ujumbe kuwa "your account has been permanently suspended".

Kwamba inaonekana nime-violet moja wapo ya kanuni/policy zao. Nilifuatilia kanuni zao na kuzipitia vizuri ila sikuona na sikumbuki kufanya jambo lolote linalovunja kanuni zao.

Nimesha appeal mara nyingi with no response. Naambiwa tu ombi langu linafanyiwa kazi ila hakuna kinachoendelea kwa miezi almost 4 sasa. Account yangu ilikuwa muhimu sana kwa mambo yangu hasa ya kitaaluma.

Je, kwa uzoefu wenu wakuu ninawezaje kuirudisha hii account? Natanguliza shukurani zangu kwenu.

dongbei!
 
Ulitengeneza parody au ulirename account yako kufananisha na ya mtu mwingine.Wakishakwambia hivyo ndiyo basi tena.Haitorudi tena
 
Labda alijenga umaarufu fulani kupitia content za kitaaluma.

Platform pekee kitaaluma ni LinkedIn ndiyo nambari moja
Uko sahihi, lakini pia inategemeana unaitumiaje. Twitter kwangu ni namba moja as nakutana na kujifunza kwa watu wa aina yangu zaidi huko.
 
Ulitengeneza parody au ulirename account yako kufananisha na ya mtu mwingine.Wakishakwambia hivyo ndiyo basi tena.Haitorudi tena
I see, bahati nzuri sikuwahi kufanya lolote kati ya hayo. In short ni too professional account ambayo imenifaidisha sana ki-elimu, hivyo misingethubutu kuichezea.
 
Back
Top Bottom