teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Nina simu tajwa hapo juu ina tabia ya kujipunguza sauti kila siku, hivyo nalazimika kila siku asubuhi kuiongezea sauti na hii imekuwa ni kero sana, je tatizo litakuwa ni nini?
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani