Mfumo wa kuapakia na kupakua taarifa mbalimbali

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
866
Habari za majukumu ndugu zangu.

Nimepewa kazi na shule X, niwatengenezee mfumo ambao wao wataweza kuapload notes matokeo n.k.

Lakini pia mwanafunzi awe na uwezo wa kuingia kukoment na kupakua taarifa zinazomuhusu.

Nimeahidiwa donge nono endapo nitafanikisha suala hilo.

Pamoja na utundu nilionao ila nawaza nianzie wapi, ila kwa kua huku hakuna jambo lisilo na wahusika naamini nitapata msaada.

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Kama wanaweza ku afford hela za kila mwezi office 365 inaweza tumika.
1. Watapata email walimu na free microsoft office kwa wote walimu ma wanafunzi.
2. 1TB onedrive storage
3. Utaweza link domain na Email kutumia custom domain
4. Utaweza Tengeneza website na wix,

Ambacho sijajua ni kama wix ina function zote, hizo za kucoment na ku upload direct kwenda ONEDRIVE. jaribu kueka hata trial uone kama itafaa.
 
Sh. Ngapi kwa mwezi mkuu?
 
Asante sana mkuu
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Nimepewa kazi na shule X, niwatengenezee mfumo ambao wao wataweza kuapload notes matokeo n.k.

Lakini pia mwanafunzi awe na uwezo wa kuingia kukoment na kupakua taarifa zinazomuhusu.

Nimeahidiwa donge nono endapo nitafanikisha suala hilo.

Pamoja na utundu nilionao ila nawaza nianzie wapi, ila kwa kua huku hakuna jambo lisilo na wahusika naamini nitapata msaada.

NATANGULIZA SHUKRANI.
Nipe hiyo tenda kama ina hela fasta
 
Back
Top Bottom