Msaada: Naomba kujuzwa app ya kuangalizia ligi za Ulaya

Forforty

Member
Nov 13, 2019
86
85
Habari wana JF,

Naomba kuelekezwa ni app gani naweza download kwa sim yangu ili niweze kuangalia league za ulaya kama EPL/Europa na zinginezo?
 
Kama hutaki kufungiwa kwenye app na kuletewa matangazo tafuta browser nzuri inayoblock matangazo then nenda gugo.site kuangalia mpira HD quality
 
Mkuu umeeleza juu juu sana. Tusaidie ni browser gani nzuri kwa ku block ads na hiyo "gugo.site" inakuwaje.

Wengine sio wataalam mkuu. Asante.
 
Browser yoyote inayobase na Firefox mfano fennec

Ukiingia link shuka chini hadi download apk ina kama mb 69 hivi.

Ukisha download na ku install click menu then addons, weka addons ya ublock origin

Then ingia hii website wakati wa match

Utaangalia kushoto utaona mechi ambazo zipo live chagua unayotaka.

Kama mb za mawazo chagua quality ya 4k, most of time link yake inakuwa na ki gear cha ku chagua quality kuanzia 180p, 240p, 360p mpaka 4k. 180p mpaka 360p ni quality ndogo ambayo mb 500 unaangalia mechi na mb zinabakia.
 
Mchango wako haujawahi feli
Thanks Fella
 
Shukrani mkuu. Hapa ninatumia free wifi speed sio chini ya 12mbps so nitaanza ku enjoy tu sasa. Asante sana.
Screenshot_20210819-214607_Chrome.jpg
 
Browser yoyote inayobase na Firefox mfano fennec

Ukiingia link shuka chini hadi download apk ina kama mb 69 hivi.

Ukisha download na ku install click menu then addons, weka addons ya ublock origin

Then ingia hii website wakati wa match

Utaangalia kushoto utaona mechi ambazo zipo live chagua unayotaka.

Kama mb za mawazo chagua quality ya 4k, most of time link yake inakuwa na ki gear cha ku chagua quality kuanzia 180p, 240p, 360p mpaka 4k. 180p mpaka 360p ni quality ndogo ambayo mb 500 unaangalia mechi na mb zinabakia.
Mkuu nime download fennec ila imenigomea ku install sijui shida ni nini? Au mpaka simu iwe rooted?
 
Back
Top Bottom