Msaada kuhusu Google Adsense

Msaada kuhusu Google Adsense

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
759
Napenda kuuliza ,mimi nimeingia mkataba na google adsense kutangaza matangazo kwenye blog yangu,na nimeshafikisha dolla 10,wamenitumia pin code,zitachukua siku ngapi kufika Tanzania kwa posta,?Msaada tafadhali.
 
Adsense wanafanya malipo mara moja kwa mwezi, kawaida ni kuanzia tarehe 20 ya kila mwezi wanalipa malipo ya mwezi uliotangulia. Hata hivyo ili uweze kulipwa kwa mwezi huo ni lazima balance yako iwe imefikia angalau dola 100 au euro 70. Kama haujafikia hiyo balance wanai-carry forward mwezi unaofuata
 
haujanijibu mkuu,mie naulizia pin code wanazonitumia kwa njia ya posta zinatumia mda gani kufka tz.
 
afadhali na mimi umenisaidia kujibu swali bcz mimi nakaribia mwezi saiv ila code nado
 
haujanijibu mkuu,mie naulizia pin code wanazonitumia kwa njia ya posta zinatumia mda gani kufka tz.
Inaweza kuwa mapema au ikaenda mpaka miezi miwili wakati mwingine. Muhimu ni kukagua sanduku lako laposta kila mara baada ya kupita wili mbili
 
Back
Top Bottom