Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Samahani wajameni naombeni ushauri kidogo. Nina Tzs 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nimeona matangazo ya Oppo A9 2020 yamenivutia kidogo. Ushauri wenu kwangu hii simu au...
2 Reactions
96 Replies
28K Views
Wana tech Salam.. Nimekuwa nikipokea maoni mbalimbali juu ya mambo haya ya IT kuwa vijana wanaotoka udom wapo vizuri Sana kwenye nyanja hii. Juzi nilikuwa na rafiki angu mmoja kutoka crdb makao...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni aina ya hisense inakula unit 113 kwa mwaka. Waranty mwaka mmoja. Bei 400,000. Ni yale madogo tu nahitaji kwajili ya matumizi ya geto. Sasa nimeona kabla ya kulinunua nije nichukue kwanza...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Natafuta hyo DISPLAY CABLE ya Lenovo Msaada pakuipata Nipo moshi nimezunguka bila mafanikio ... Hii laptop inawaka ila haisomi HARD DISK.. naombeni ushauri wana JF
1 Reactions
4 Replies
515 Views
Habari wakuu, straight to the topic, Mimi ninatumia king'amuzi kimoja cha Azam sasa soon nataka ku-uprade TV ya sitting room niweke kubwa zaidi halafu iliyopo niiweke chumbani kwangu. Sitaki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani. Mipango ilikuwa mingi na ndoto...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box Kazi kwenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je, zinafanya kazi baada ya kuchomeka ATM CARD Au muda wowote zinafanya kazi? Sina nia mbaya kuna rafiki yangu aliingia ATM akakuta hela mtu alitoa lakini ilichelewa hadi huyo mtu akaondika sasa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet. Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology. Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu na Wana Jamii Great Thinker naombeni kujuzwa hii company bado ipo ? Au walishaifanyia figisu figisu, USA.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kampuni kubwa ya Kijapani HITACHI imetengeneza chip ndogo kabisa na nyembamba Zaidi aina ya Radio Frequency Identification (RFID) iliyopewa jina la utani "Poda" au "Vumbi". Ina size ya milimita...
3 Reactions
10 Replies
925 Views
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief...
0 Reactions
6 Replies
541 Views
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps...
1 Reactions
246 Replies
26K Views
Hapa nazungumzia simu ambayo ukipiga picha, iwe kwa front camera ama real camera kitu inatoka o.g, yaani kama uhalisia, ukisema hii ni camera, iwe camera kweli kweli! Na pia simu ambayo display...
5 Reactions
53 Replies
9K Views
Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla. Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Habari wadau, Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake Natanguliza...
1 Reactions
4 Replies
758 Views
Back
Top Bottom