Godbless mtega
Member
- Sep 15, 2018
- 41
- 24
Samahani wajameni naombeni ushauri kidogo. Nina Tzs 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nimeona matangazo ya Oppo A9 2020 yamenivutia kidogo.
Ushauri wenu kwangu hii simu au kampuni ya Oppo n nzuri au niachane nayo? Ina megapixel 48.
Ushauri wenu kwangu hii simu au kampuni ya Oppo n nzuri au niachane nayo? Ina megapixel 48.