Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,040
- 4,292
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology.
Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa jinsi ya kutengeneza Blog nilianza harakati za kutengeneza Blog.
Hiyo Blog imebaki dormant kwa muda sana pamoja na kuwa na post kadhaa maana sikujua namna ya kuifanya iwe Available kwenye kwenye SE lakini baadae 2018 nikiwa nimemaliza Chuo, niko Intern nikaanza harakati za kuweka makala mbali.
Baada ya kukazana, Nimekuja kuweka Post yangu very interesting, ndani ya siku moja nikapata visitors 350 na mpaka sasa Blog yangu ATV 29k. Nikataka nijisajili Google ads ili nianze kulipwa baada ya Kui connect account yangu waneniambia Haijafuata taratibu zao ambapo wao wanataka lugha ya kuweka Post iwe English na zingine ambazo wao wamepitisha.
Mimi pia ni mtembeleaji wa Website zingine zinazotumia lugha ya Kiswahili kama lugha ya Maudhui na wana Ads zipo pale na zina Float.
Hebu nisaidie basi nijue nini cha kufanya ili namimi nianze kupata kifuta Jasho. Mnaweza kuanza kuweka ads kwenye website zenu zenye lugha ya Kiswahili.
Nawasilisha