Msaada wa Green hint kwenye Gcam ya Xiaomi

Msaada wa Green hint kwenye Gcam ya Xiaomi

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,174
Reaction score
1,492
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani

Nawezaje kusolve tatizo hili

CC.Chief mkwawa popote ulipo

PXL_20220806_074939088.PORTRAIT.jpg
 
Hyo simu nasikia huwezi kufowadi sms au uongo?
 
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani

Nawezaje kusolve tatizo hili

CC.Chief mkwawa popote ulipo

View attachment 2315820
Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi,
Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam.
 
Back
Top Bottom