Huawei bado ipo au walishafanyiwa figisu na USA?

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Wakuu na Wana Jamii Great Thinker naombeni kujuzwa hii company bado ipo ? Au walishaifanyia figisu figisu, USA.
 
Ni imara sana mkuu
Sana kuliko iPhone vikwazo vilisababisha kampuni kukosa chip za kutengeneza simu zao mpya P50 Ila vikwazo vilevile vikawarudia West maana dunia ilikumbana na upungufu WA chip duniani Hadi project nyingi zikasitishwa au kusogezwa mbele Ila mwaka huu naona watazitoa P50 ni simu nzuri
 
Chip ni vitu complicated sana, na China hahusiki kabisa ama kama anahusika basi ni kwa kiasi kidogo sana.

Most of time Ni TSMC, Samsung na intel ndio wana manufacture kwa wingi chip za kisasa, na Material ni Mchanga ndio hutumika kutengeneza hizo silicon, na wanaoweza kuu purify kwenda mpaka state ya kutumika kwenye chip ndogo kama 5nm, 6nm, 7nm etc ni waJapan.
 
Wakuu na Wana Jamii Great Thinker naombeni kujuzwa hii company bado ipo ? Au walishaifanyia figisu figisu, USA.
Huawei zipo ila hawana Processor za kisasa hivyo simu zao nyingi ni underpowered.

Ila zipo Honor, sub brand ya Huawei ambayo sasa hivi inajitegemea.
 
chief ivi kati ya helio p20 na helio G70 ipi prosesa yenye nguvu ktk matumizi makubwa ya kimtandao..
 
G70 ina nguvu zaidi. Kwenye G series G70 kupanda zote zina nguvu kiasi chake.

G70 na G80 series ni lowend.
G90 ni midrange.
 
Walishapoteana hao jamaa walitaka kutunishiana misuli na beberu USA.
 
Huawei zipo ila hawana Processor za kisasa hivyo simu zao nyingi ni underpowered.

Ila zipo Honor, sub brand ya Huawei ambayo sasa hivi inajitegemea.
Processor zao ni nzuri na za kisasa. Tatizo la Huawei si processor bali tatizo ni kunyimwa kibali cha sim za HUAWEI kunyimwa access ya google play na hii kuzinyima soko kwa watumiaji wa android ambao wanataka access ya apps za Google Play.
 
Hapana huawei ana re use tu soc za zamani haruhusiwi kutumia tech mpya.

Mfano kirin 9000 kwenye p50 pro inatumia cortex A77.

Core ya kisasa sasa hivi ni Cortex X2, chini yake ni X1, chini yake ni Cortex A78 chini yake inafuatia Cortex A77.

Linganisha Kirin 9000 na soc ya kisasa ya sasa kama Sd 8+ Gen 1 utaona gape lilivyo kubwa.

Kwa mtu anayefahamu simu hawezi nunua kirin 9000 over 8+G1
 
Wakuu na Wana Jamii Great Thinker naombeni kujuzwa hii company bado ipo ? Au walishaifanyia figisu figisu, USA.
Wapo goi goi. Ceo wake alisema kama US wasingefanya fitini, ingebaki Huawei na iPhone tu wengine wote wangejifilia mbali.
 
Ila watu wa Asia ya mashariki hawapendani sana, wapo radhi wamiliki iphone kuliko Mkorea/China/Japan amiliki kitu cha mwenzake, Hilo ni dongo kwa Samsung.

Kabla ya Pin ya Marekani 2019 Samsung alimdhibiti vizuri tu huawei, Simu mpya Za A series kuanzia A10 mpaka A90 ziliuza sana.
 
Walisema Harmony Os itaisambalatisha na kuiaibisha Google na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom