HITACHI yatengeneza ka CHIP size ya punje moja ya mchanga

HITACHI yatengeneza ka CHIP size ya punje moja ya mchanga

Ramsy Dalai Lama

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
213
Reaction score
846
Kampuni kubwa ya Kijapani HITACHI imetengeneza chip ndogo kabisa na nyembamba Zaidi aina ya Radio Frequency Identification (RFID) iliyopewa jina la utani "Poda" au "Vumbi". Ina size ya milimita 0.15 x 0.15 tu na unene wa micrometer 7.5. ambayo imevunja record ya dunia. Kwa maana ni ndogo zaidi kushinda punje ya mchele au tuseme ina uwezo kuingia kwenye tundu la sindano.
Polish_20220806_192058654.jpg
images%20(55).jpg

Wireless chip hiyo ni ndogo kushinda ile waliyotengeneza zamani ambayo pia inayoshikilia record ya dunia ambayo ilikua na size ya 0.4 x 0.4 mm "Hitachi Micro-Chip".

Kampuni ilitumia Semiconductor miniaturization na Electron beam technology kuandika data kwenye chip hiyo ili kufikia kupungua kwa saizi hiyo.
Polish_20220806_192544318.jpg

Chips hizo zina potential applications ya matumizi kwajili ya jeshini hadi usafirishaji, vifaa na hata umeme. Na pia zina teknolojia ya matumizi ya VPN.
 
Hatujitangazi tu ila juzi kati hapo Sumbawanga wamevumbua ungo mdogo wa kuruka usiku wenye ukubwa kama wa sahani ya chakula lkn una uwezo wa kubeba watu 19.
nani aliutumia wa kwanza na alienda wapi na experience ilikuwaje na maoni yako ni yapi kwa serikali juu ya sayansi mliyogundua?
 
Dogo mbona huji kutetea uvumbuzi wako? Tatizo wewe ni akili kubwa ndio maana hujibu maswali
Tatizo huu uvumbuzi ni mgumu kueleweka kwa nyie watu wa kawaida kama tuu mambo ya Imani za dini ilivo ngumu kueleweka. Wewe amini tuu
 
Back
Top Bottom