Speed ya internet Vodacom super kasi

Mwasapile

JF-Expert Member
Apr 20, 2020
206
441
Habari wandugu!

Naombeni muongozo nani huku anatumia huduma ya Super-kasi Vodacom....hii wanayokufungia antenna na wanasema unapata speed ya 30MbPs.

Kwa mwenye experience nayo nataka kujua speed yake ipoje
 
Hio 30 Mbps ndio naisikia leo, nachojuwa wana 10 Mbps na 20 Mbps..

Mb ikiwa na "b" yenye herufi ndogo ni Megabits, kuzibadili zije kuwa speed ya MB ambazo ni Megabytes kwa "B" yenye herufi kubwa tunazidisha mara 0.125... ps ni per second ambayo kwa kiswahili ni kwa sekunde.. Mbps ni Megabits kwa sekunde na MBps ni Megabytes kwa sekunde

10 Mbps - 1.125 MB kwa sekunde, bei ni 115,000

20 Mbps - MB 2.25 kwa sekunde, bei ni 165,000
 
Ka mwamba

Kuna mdau humu alisema soon wanaanza kutoa 30,50,100,200,350mbps
 
Hio 30 Mbps ndio naisikia leo, nachojuwa wana 10 Mbps na 20 Mbps..

Mb ikiwa na "b" yenye herufi ndogo ni Megabits, kuzibadili zije kuwa speed ya MB ambazo ni Megabytes kwa "B" yenye herufi kubwa tunazidisha mara 0.125... ps ni per second ambayo kwa kiswahili ni kwa sekunde.. Mbps ni Megabits kwa sekunde na MBps ni Megabytes kwa sekunde

10 Mbps - 1.125 MB kwa sekunde, bei ni 115,000

20 Mbps - MB 2.25 kwa sekunde, bei ni 165,000

wamebadili vifurush mda 120k sasa hv unapata 30mbps usikariri mambo yamebadilika
IMG_6843.jpg
 
Mimi natumia cha 115k per month..kiukweli speed yake iko njema...yaani ukiwa nyumban hutamani hata kuondoka
 
Woii mi laini ndo nimeuweka pembeni kabisa baada ya kunipandishia bando eti 3000 gb moja bila hata sms au muda wa maongezi!
Yaani ukijiunga hilo bando wanalimaza fasta bila hata kujua umelitumiaje
 
Inakua unlimited?
Ni unlimited mkuu.Siku ya kwanza nilidownload updates za game zilikuwa 300GB naamka asubuhi zimeisha zote.
Kama mtu unamudu kulipa 120k ni vema ukaweka utaenjoy.
Na hiyo ya Sasa 5G nahisi itakua vema zaidi
 
Back
Top Bottom