Tatizo la WhatsApp kupoteza magroup na conversation

Tatizo la WhatsApp kupoteza magroup na conversation

spleeingiant

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
138
Reaction score
45
Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
 
Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
Ili vitu virudi kama mwanzo unatakiwa ufanye backups mara kwa mara ,mimi nimebadili simu mara kibao na sijawahi poteza chatting wala group zangu
 
Simu yako ukibadili Baada ya Muda Gani.

Usipo ingia kwenye Account yako ya watsup miezi Mitatu, watsup inafutika group zoooote zinafutika na chatting zoooote zinafutika.

Pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom