Jaziba gani sheikh [emoji2]
Cyber ni pana shida yako hasa nini!?Wakuu mambo vipi nina shida kidogo na mtu ambaye yupo vizuri kwenye maswala ya cyber security na pia ana uzoefu kidogo nataka tulizungmzie anisaidie kiasi.
Wanakuja sheikh, anza kunywa Al KasusJaziba gani sheikh [emoji2]
Ukikosa kabisa , ingia Upwork jisajili then toa kazi eka na bei yako ... Kwa quality assurance testers .. utapat wengi ma expert worldwide ... Sana WA bei rahis kukutestia utapata WAhindiYani nataka mtu ambaye anaweza fanya pentesting kwenye websites na kutambua vulnerbility mkuu
Kama uko serious niko pale nimekaaYani nataka mtu ambaye anaweza fanya pentesting kwenye websites na kutambua vulnerbility mkuu
Dau lako?Yani nataka mtu ambaye anaweza fanya pentesting kwenye websites na kutambua vulnerbility mkuu