Wapenzi wa Redmi phones mbona kama redmi note 12 ina specification za kawaida sana kuliko predecessors wake yani note 10 na note 11? Au tusubiri kwanza global version?
Specification za kawaida ni...
Tangu tarehe 5 walipoachia .iso ya win11 ambayo wengi tulikuwa tunaisubiri kwa hamu nilifanikiwa kui install.
Baada ya siku mbili zakufanya majaribio ilibidi niitoe nirudishe win21H1 sababu ikiwa...
Naomba kuuliza, hivi kuna online meeting ambayo unaweza kuamua ni nani awe kwenye meeting?? Maana mfano Microsoft teams yeyote mwenye app ya Microsoft teams akitumiwa link anaweza akajoin meeting...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix...
Bram alizaliwa mwaka 1975 huko Dream country USA huku baba yake ni mwandisi wa kompyuta na mama yake ni mwalimu.
Baada ya kufikisha miaka 5 Bram alikuwa amewiva kujua lugha za huandisi wa...
Katika utafiti wangu nmegundua watu wanaomiliki simu za tecno wamezidi kupungua siku hadi siku. Japo kuna wale wanaotumia tecno zilizochangamka kama ifinix nk.
Hii imeenda sambamba na kuongezeka...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kutinga kwenye uwanja, nimekuwa nikicheki interviews za lisaa ama zaidi kwa bloggers waliofanikiwa na kiukweli natamani walau nipate walau hata theluthi ya...
Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi?
Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya...
Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech.
Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina...
Nuru ni lugha ya programu ya Kiswahili. Inafanana na lugha zingine kama python na javascript, tofauti ikiwa imetengezwa kwa Kiswahili.
Lugha hii imetengenezwa ili kuwawezesha wazungumzaji wa...
Habari wana jamvi,
Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail...
Splinter Cell Konviction ndo ilikuwa game yangu ya kwanza kucheza kwenye Xbox kwa ndugu yangu mmoja hivi. game ilinivutia sana maana walikuwa wamebadilisha mfumo .waliocheza vitu kama Chaos Theory...
Kuna simu nilikuwa nayo ikapotea na lain Kila kitu.
Ila baada ya kupata simu nyingine nikawa nahitaji kurudisha baadhi ya account ikiwemo ya Twitter pamoja na Whatsapp.
Kwa mfano nimejaribu...
Salaamu,
Nikiri kwamba kuna changamoto katika kujua simu gani bora ya kununua kwa ajili ya matumizi yako. Changamoto hizi zinatokana na sababu kadhaa, mfano;
1. Uwepo wa kampuni nyingi...
Habari wana JF,
Kuna mdada fulani tulizoean hivi karibuni tu aliniazima simu yangu akidai kuwa simu yangu imezingua nimuazime kwa muda.
Nilimuazima kama kwa siku 2 lakini cha ajabu jana...
Wakuu Namba maelekezo Kwa anae ijua Kampuni ya ads ambayo inaruhusu kuweka matangazo katika blog zenye Free domain.
Nimekutana na Blog zenye Free domain ya Blog.com
Jamaa wameweka ads Maisha...
Habari zenu wakuu ?
Matumaini yangu mpo salama na afya njema!,
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kushare ujuzi tulio nao ili kuweza kufaidi chaneli za FTA kupitia sattelite mbalimbali,
Tuanze na...