Natanguliza heshima mbele wakuu,mimi najifunza webdesign by HTML,XHTML,CSS,niko hatu za mwanzo.Ombi langu ni kama kuna mtu anaweza kunisaidia upatikanaji wa Server5.1(Internet information...
Natarajia kutumia laptop yangu kwa Internet huko Tanzania hivi karibuni. Kutokana na kuwepo kwa fibre optic cable, ni ISP yupi ambaye amejitokeza kutoa huduma nzuri kipesa na kihuduma? Naomba...
Hello Jf
Nimekuwa najaribu kuistall SQK 2005 Kwenye machine moja...au mbili kwa wili mbili sasa...lakini inapofikwa kwenye MSXML6 Ina fail na vingine vyote vina fail kama database,report etc...
NJIA ZINGINE ZA MAPATO HIZI
Miaka michache iliyopita niliwahi kufanya kazi sehemu moja , moja ya kazi zetu zilikuwa ni kutengeneza Programu mbali mbali zinazoweza kutumika kufanya kazi kwenye...
JESHI la Polisi limeunda timu ya kuchunguza matukio ya uhalifu kwa njia ya mitandao, simu za mikononi, ATM za mabenki na huduma nyingine za mitandao cha Ant cyber crime Unity ili waweze kubaini...
Wakuu kwa mtazamo wa watanzania je unaona technology ipi ilikuwa au itakuwa ndio the hottest kwa mwaka 2009? either iwe ni mpya duniani ama nyumbani.Kushiriki kupiga kura Click here!
KWA NINI IKULU WALIAMUA KUTUMIA YAHOO
Pamoja na kwamba nilikosoa uamuzi wa ikulu ya tanzania kutumia barua pepe ya yahoo kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi , nimekaa tena na kufikia mara...
Hii nimeikuta sehemu na nikaona niilete hapa. Sikutaka kuiweka kwenye jukwaa la dini kwani imekaa zaidi kisayansi. Soma na wewe utowe mawazo yako. Ila kwa mbali inatoa somo safi sana hasa...
Managing projects is hard work at the best of times, but there are a number of free and open source (FOSS) applications available that can help CIOs and other managers streamline the...
Ndugu zangu watumia mtandao wa internet!
Kuna habari nimezipata leo kutoka chanzo kimoja cha habari kuwa kuna uwezekano TTCL wakapunguza gharama za broadband kuanzia mwezi wa kumi. Habari hizi...
Hii nimeikwapua eThinkTank
To some if not many of you this many not be new, but I hope it may be usefully to some. Google Translate sasa inaweza kutafsiri lugha ya Kiswahili. Japo ina mapungufu...
You work with documents, presentations, graphics, and other files all dayand chances are, you have a lot of them. And that means it takes time to find the documents you need. Even if it's just a...
NI mara nyingi unakuwa na presentation labda Lab au darasani,tatizo linalowakuta sana watu ni kuwa utakuwa computer za Lab hazina software unazohitaji au kuna wakati unakuta version ni tofauti...
Your PC (Personal Computer) is a system, consisting of many components. Some of those components, like Windows XP, and all your other programs, are software. The stuff you can actually see and...
nimejaribu kuandika kitu hiki
SELECT *
FROM klienci
WHERE EXISTS (
SELECT adres
FROM klienci
WHERE id = '1'
)
nimejaribu kubadili sana lakini wapi na tatizo mie sioni ,naomba msaada haswa wa...
Wakubwa kwa wasiokuwa na taarifa kuwa iEEE wireless standards organization wameiprove 802.11n so tutegemee mambo matamu soon,
Kwa wasioifahamu vizuri unaweza pata uhondo...
A new standard...
Wadau,
Nimetoka ku-restore Coat of Arms yetu ktk wikipedia ambayo kwa kusikitisha ilikuwa inadisplay coat of Arms ya Rwanda!!! sasa najiuliza hili lilitokea vipi? ama kuna watu wanaotuhujumu...
Two Of the Best OS Were Released Recently, Now I was trying to Find out how many people have started using Snow Leopard "Mac" or Windows 7 "Microsoft OS"
And how Likely are you to continue...
The New Nokia Booklet 3G Netbook: An In-Depth Product Review
Posted by Allie Vance | 13 September 2009, 5:43 am
The Nokia Booklet 3G is a very innovative approach from...
Were Wright Brothers the first to fly?
Wilbur and Orville Wright weren't just lucky to make the first flight. They played with flying paper models in their youth, and by 1901 they had made...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.