Nitaokoaje flash disk yangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitaokoaje flash disk yangu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ambassador, Nov 5, 2009.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani eh, kuna mtu kachomoa flash disk yangu kwenye computer ikiwa bado inablink kuonyesha kuna activity inaendelea. Kila nikijaribu kuifungua inasema "not formatted, do you want to format it now?" Kuna njia yoyote ya juokoa flash disk hii maana imesheheni kazi zangu lukuki most of which sina back up zake. Please help.
   
 2. Kivuko

  Kivuko Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Do a google search for acronis recovery suite,that will help you recover your data.

  Cheers!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Just click "No" na itafungua kama kawaida... wakati mwingine huwa inatokea namna hiyo kama unatumia stystem mbili tofauti, Mac na Pc... Ikishindikana hayo jaribu ushauri wa jamaa hapo juu.

  NB:

  Siku zote usiamini hizi technologia za digital... wakati wowote zinaweza kuzima na ukapoteza kazi zako zote... Inashauriwa kuwa na Back up kwa kila kazi unayoifanya... tena kuwa na USB hata tano na wakati mwingine bora kuifadhi kazi zako kwenye CD's. Hii itakusaidia sana kuweza ku-back up kazi zako kwa siku za usoni.


  Kila la kheri Ambassador.
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Just to strengthen that multiple OS point raised above.

  Hii ishawahi kunitokea wakati nahamisha files kutoka Ubuntu kwenda Vista, au mara nyingine inaweza isikuambie ku format bali ikakuuliza kama unataka kuprevent file corruption (I forgot the exact message) ukikubali the corruption message inafuta mafile yote yaliyokuwa copied mara ya mwisho, ukisema yes on the formatting message most probably utapoteza data zote.
   
 5. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilishakutana na case kama hiyo, na hata ku-format ilikuwa inagoma. Ukifikia umeamua kuzitosa hizo data, na ukijaribu ku-format pia ikashindikana, fuata ushauri huu:

  - Disconnect Hard-drives za computer yako
  - Boot computer kwa kutumia Windows XP CD (Sijajaribu CS ya Vista)
  - Fuata instructions kama vile unataka kuinstall OS kwenye hiyo flash. Ikifika sehemu ya kuchagua drive, chagua hiyo flash, na iambie installa ii-format
  - Ikimaliza kuformat, disk yako iko safi. Baadaye nadhani setup ita-fail anyway kwa sababu space ni ndogo
  - Zima computer
  - Unga hard-drives zako ulizozitoa kabla


  Nimekumbuka sasa kwamba kama una flash inayogoma hata ku-formatiwa kwenye XP kwa sababu ilichomolewa bila kufuata taratibu, ukiiingiza kwenye Vista, Vista ina-gundua kwamba hiyo flash ina matatizo na itakuomba ruhusa ya kui-fix. Ukiiruhusu itaifix na nadhani ma-fie yako yanabaki vile vile. Jaribu hili kama jaribio la mwisho kama ushauri wote hapo juu umeshindikana.
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu, nilishwahi kuiruhusu iifix kama nilivyosema hapo juu, matokeo nikakosa hayo ma file latest niliyocopy.This was a Ubuntu -> Vista move. Not sure about XP --> Vista. Nafikiri ni ulimbwende wa Vista huu, I hope Windows 7 haitakuwa this particular.
   
 7. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Proud of Windows 7...works great even on netbooks!
  Na ingawa nimeswitch to Macs after the Vista crisis...I would definitely recommend PCers on trying out Windows 7.
   
Loading...