Ukweliii
Member
- Feb 10, 2008
- 58
- 0
Hii ni challenge kwa wanaJF.
Tuchangie mawazo, tutumie mitandao yetu na hata resources kuweza kufanya mabadiliko. We need to contribute to make a difference.
Story inapatikana kwenye gazeti la Guardian la 19 Okt 2009 na ina kichwa kinachosema "Ex-army officer-cum-inventor struggles for recognition". Kwa kifupi huyu bwana Ret. Cpt Msekeni ametengeneza injni ambayo haitumii mafuta bali maji kidogo tu. Nionavyo matumizi yake ni mengi bila kikomo, kuanzia kusukuma maji na hata kuzalisha umeme! Na gharama za kuiendesha ziko chini kabisa.
Matatizo yaliyompata ukiisoma hiyo habari unaweza kulia (Wanasheria msaidieni kuwa-sue Nyumbu) na ni matatizo yanayowakumba watu wengi TZ.
Uvumbuzi wa huyu bwana utakuwa na maana kama tu utaweza kumsadia yeye binafsi kwanza na baadaye watumiaji wengine (businesses and/or individuals)
Ufumbuzi wa matatizoyake katika dunia ya sasa ni sekta binafsi na sio serikali kama juhudi anazofanya sasa.
Programu za TV kama "Dragons Den" ingekuwa ndio jibu la haraka. Yaani uvumbuzi ungefanyiwa uchambuzi wa kina wa kibiashara/kiuchumi na kupata fedha nakadhalika vinavyohitajika kuifikisha injini yake kwa watumiaji. kwa njia hii ambayo ni ya haraka na uhakika zaidi niwazi kuwa hatakuwa na 100% ownership.
Challenge ni tathmini ya uvumbuzi wake kibiashara, ambayo mimi nadhani itapita kiulaini na baada ya hapo kuizalisha kwa wingi na kuifikisha kwa wateja.
This is chance to make a difference.