tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
Nimeona tangazo la TTCL kwenye daily news la leo (02/10/2009) kuhusu kupungua kwa gharama za matumizi ya internet kutoka kwa huyu service provider TTCL.
Kiujumla, ukichukua tariff zote, wamepunguza gharama za internet usage kwa 65%.
Kilichovutia jicho langu ni ile gharama mpya ya home/non commercial user, ambayo ni unlimited, masaa 24 kila siku na ni 256Kbps na inakwenda kwa sh 45,000/= kwa mwezi.
Swali kwa wataalamu wetu wa IT hapa, does it worth it?