Warn your wives/girlfriends and daughters | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warn your wives/girlfriends and daughters

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gmwansasu, Oct 30, 2009.

 1. g

  gmwansasu Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Bottled water in your car.....very dangerous, woman!!!!
  This is how Sheryl Crow got breast cancer. She was on the Ellen show and
  said this same exact thing. This has been identified as the most common
  cause of the high levels in breast cancer, especially in Australia .

  A friend whose mother was recently diagnosed with breast cancer. The Doctor
  told her: women should not drink bottled water that has been left in a car.

  The doctor said that the heat and the plastic of the bottle have certain
  chemicals that can lead to breast cancer. So please be careful and do not
  drink bottled water that has been left in a car, and, pass this on to all
  the women in your life. This information is the kind we need to know and be
  aware and just might save us!!!! The heat causes toxins from the plastic to
  leak into the water and they have found these toxins in breast tissue. Use
  a stainless steel Canteen or a glass bottle when you can!!!

  Let everyone that has a wife/girlfriend and daughter know please.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Nisichoelewa ni hapo tu kwenye kijani!
  Huko kwengine koote tumeenda sawa...!
  Embu nijuzeni waungwana!
   
 3. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Hii thread inatafuta nini kwenye forum ya Teknologia na Sayansi??!!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  Inabidi afafanua
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ina maana unaponunua maji kwenye chupa, usiyaache hayo Maji ndani ya gari. Huu mtindo upo sana huku. Mtu ananunua maji na kuyaacha ndani ya gari. Si unajua tena...kwenye traffic jam unakuwa unakunywa kidogo-kidogo, nk.
  Na pia niliona mahali pengine wanashauri hizi chupa za plastic za maji usizitumie kwa muda mrefu maana hayo ma-chemicals yana-sip into the water kwa jinsi inavyoendelea kukaa muda. Yani huku cancer ni sawa na ngoma in Africa. Mpaka nina hamu ya kurudi nyumbani maana kila kitu huku kinaleta cancer. Yani mpaka sasa ukifika 70 bila cancer una bahati sana! I guess ndo price ya kuwa developed hiyo....
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mbona inaeleweka jamani, wenye magari unanunua maji yako ya kilimanjaro au uhai au mengineyo, unayaweka ndani ya gari ukiyanza taratibu ukifika home au kwa ofisi unayaacha ndani ya gari windows zote closed, lile joto ndani ya gari kuna chemicals kwenye ile chupa ya plastic zina yeyuka due to heat na kuwa absorbed kwenye maji sasa ukitoka kwa ofisi au hm ukija ndani ya gari ukiyakuta unaendelea kuyanywa hence kwa akina mama matokeo yake ni breast cancer
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kuna thread kama kabisa allianzisha VeraCity... Kuna mtu aliuliza swali zuri sana kuhusu usafirishaji wa hayohayo maji kwenda kuuzwa si wa magari pia?
   
Loading...