Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Oca
Najiandaa na mtihani wa Oracle OCA Naomba msaada wa mawazo toka kwa wadau wenye experience ya hii mitihani. Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Is KIS2010 and KIS2011 has the same level of protection overall? 'Cause i uninstalled my KIS2011 last week and switch on KIS2010 for some reasons.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
BY SHINO YUASA, Associated Press Writer TOKYO – Toyota Motor Corp. said Thursday about 270,000 cars sold worldwide — including luxury Lexus sedans — have faulty engines, the latest quality...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi ni habari njema sana lakini pamoja na haya kuna vitu watu wanatakiwa wajue . Ukiwa unashida yoyote kwenye masuala ya usajili wa namba au kifaa chako cha mawasiliano onana na kuto cha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za hapa ndani wakuu, Naombeni ushauri wenu wa kitaalam katika kununua Digital Camera. Nahitaji Digital Camera kubwa kati ya hizi hapa Canon EOS 50D Canon Rebel XSi Canon Rebel 450D Nikon...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Iam using fedora 12 and I have installed squid through yum. I have configured ip tables so that all traffic to port 80 can be redirected to squid. I have enabled squid to run as a transparent...
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Hello JF. Kwa sasa niko kwenye mafunzo binafsi ya Querying Microsoft SQL Server 2005 with Transact-SQL. Kijitabu cha microsoft ambacho ninacho ni cha 2000 Server.Kama kuna mtu amesha fanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ullimwengu tuliopo ni wa sayansi na Teknolojia.Kila kukicha teknolojia mpya ya kufanya mambo, kutengeneza bidhaa inagunduliwa na kuanzishwa. Uwepo teknolojia na misamiati ukichanganya na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwanini Unatakiwa Kusajili Dot Tz ? Kuna watu wengi wamewahi kulalamika kuhusu anuani za barua zao pepe kuvamiwa na kubadilishwa baadhi ya vitu au kutumiwa kwa huduma zingine ambazo wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hello, Recently I found one website called Free Education Information System, schools and colleges information, free books for engineering and medicine here you can get all Indian Community...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ninapokuwa nimeitumia Laptop yangu nikii-command kuzima inachukua hata nusu saa imeonyesha kile ki-alama cha kuwa iko busy, mpaka nalazimika kuizima kwa kui-buti. Je tatizo ni nini na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Umewahi kujiuliza Serikali yetu inatumia Pesa kiasi gani kwa mwaka kwa ajili ya Kununua vifaa , programu , kuajiri na Elimu kwa wafanyakazi wake kwenye masuala ya Teknohama ? Sio serikali tu mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wangu nawaombeni mnisaidie hii Bluetooth kwenye Windows 7. Najaribu kuinstall inakwenda na kufika kati inagoma inakuja hii Message (Error 267 Occurred during installation! Please try to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106. Please pass this message as widelly as possible
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In research echoing the Wizard of Oz, scientists have found the key to overcoming fear. The discovery means it might one day be possible to give people back their courage - just as Oz helped...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za hapa ndani wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalam, mimi ni mwanafunzi niko hapa dar es salaam nahitaji kujua sehemu wanauza 3G modem kwa bei nzuri, kama kuna mtu anafahamu aweza kuni PM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu Hivi ni wangapi hapa tunajuana mitaani , mashuleni na sehemu zingine za makazi sisi kama wana teknohama ni wangapi wenu hapa tunasaidiana na kushauriana masuala mbalimbali zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiswahili kwenye kompyuta!!! Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let’s take a sneak peek at developments so far: It’s the high...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom