Makosa Kwenye Mtandao Taratibu za Kufuata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makosa Kwenye Mtandao Taratibu za Kufuata

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Aug 24, 2010.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  1 - Mtu ataenda Kushitaki

  2 - Mahakama pamoja na jeshi la polisi litawasiliana na JF kwa ajili ya kupatiwa Taarifa za ID yako .

  3 - IP ADDRESS NA EMAILS zako zikipatikana watawasiliana na ISP wako kwa ajili ya kujujua wewe pamoja na Kuwasiliana na Mtandao unaotoa huduma za email zako kama zile yahoo au hotmail ingawa hii ni kwa asilimia 1 kati ya Mia hao Yahoo au hotmail wajibu maombi .

  4 - Kwa IP Address ISP wako anaweza kutoa ushirikiano kama wanasera hiyo na kama wamehifadhi taarifa za matumizi yako kwako na kama kuna sheria zingine zinazohusu privacy za watu kama zinaweza kutumika hapo
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Shy @ work!

  Hapa unajaribu kuelezea SOP au ulikuwa kwenye kampeni ukaingia JF ukakuta watu wanagonga nyundo Chama Chenu?

  Au unajaribu kumuelewesha Mukulu nini cha kufanya - maana wakati wa uzinduzi alilalama saana kuhusu mtandao!
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Mimi huyu sijamelewa!!kwani mbona ningukumshika mtu!!waharifu wakwenye mtandao kaa ukijua kamwe hawatumii adress za ukweli nakamwe hawazitumii kuwasiliana na yeyote zaidi yakupiga nyundo pale wanapopataka!!Hiyo IP
  ,ISP vina watega wale wanaotumia email zao za ukweli!!kama natumia email fake na ipo cafe??
  Nautueleze lengo la slead yako aieleweki shy-sasa sijui ni shy huyuhuyu au jina tu..anyway!!
   
Loading...