Package Mpya za Internet Bundles kutoka TTCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Package Mpya za Internet Bundles kutoka TTCL

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Jan 5, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimesikia tetesi kwenye IT meeting leo kuwa TTCL wametoa package mpya za internet, ambazo wanachaji kwa saa, something like Tshs 1000 kwa saa unlimited downloading. kuna yoyote mwenye habari hii kamili, ni kwa broadband ya kawaida au ni pamoja na mobile broadband?
   
 2. tototundu

  tototundu Senior Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yawezekana ni uzushi basi
   
 3. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  thats true mkuu, i was in dodoma last week, nikakutana na pipo zinainadi hiyo bidhaa ya ttcl kwenye maofisi na taasisi za elimu @60000 tsh...then nackia nw wanashusha bei coz competition ni kubwa na za washindani wao ni cheap zaidi...
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  i think hii inaweza kuonekana kama ni cheaper lakini sio cheap kivile...... 1000 x 12 hours that is 12,000/= kwa siku wakati for 2 gb ambayo normal usage inafaa napata kwa 10,000 kwa wiki....
   
 5. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  It also depends on download speed. If download speed is below 150Kbps, that is very very expensive, unless there is a time counter inside da modem, that it stops time when u stop using internet. Otherwise . . . .
   
 6. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Caution:

  Wataalamu kuwen makin sana. Lugha za kibiashara za sasa zinaweza kukufanya uone bidhaa au huduma ni cheap, lakin ktk uhalisia gharama yake imeongezeka mara 5 zaid ya awali, na vilevile kunakuwa na hidden charges.
  Mfano, nikisema nauza bundles za Tshs 20/= kwa dk unaweza kuona ni extremely cheap, Sasa piga hesabu kwa siku ni sh ngapi?!!! Halafu kumbe mwenzio nina hidden charges kibao, na hiyo ni bei bila kodi.
   
 7. tototundu

  tototundu Senior Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijaona marketing ya TTCL so nasubiri, wacha kwa sasa niendelee tu kutumia internet ya airtel, 400MB kwa Shillingi 2500
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa mfano voda wanayo kwa 10,000/= unlimited download kwa wiki.... ila ukiwa unadownload wanakata connection everytime.... wizi mtupu...... haya mambo mpaka kwanza upate recommendation kwa mtu ambaye ameshatumia....

  No matter how TTCL puts it 1000 per hour is very expensive....... even if its unlimited
   
 9. tototundu

  tototundu Senior Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Najaribu ku analyze, kwani bei ya cafe ni sh ngapi? sio around 2000 kwa saa?
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  depends ni from 800 mpaka 1000, ofcourse kama unacompare btn cafe na hii sababu ya speed yake basi hii ni cheap lakini kama unataka kununua package yako utumie nyumbani hii ni expensive
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wizi mtupu tu akuna jipya wamekaa kibiashara zaidi akuna unafuu wowote
   
Loading...