Msaada wa laini ya airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa laini ya airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mzux D, Jan 4, 2011.

 1. Mzux D

  Mzux D Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo sija kusoma kabisaaaaa.
  Kitu unachoongelea ni kama aina ya simu yako ndio inagoma na sio sim card ya airtel.
  Kwani unatumia simu ya aina gani mkuu?.
  Au unamaanisha internet kupitia modem ya airtel?
   
 3. Mzux D

  Mzux D Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumia sms aina ya nokia 5130 xpressmusic
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  jaribu hii, tuma neno INTERNET kwenda 232 kisha utatumiwa mpangilio, save
   
 5. Mzux D

  Mzux D Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejaribu hawakunitumia mpangilio.
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Duh pole mkuu,
  inabidi uwapigie customer care
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa cm aina yako inauwezo wa internet uwawanaku2mia wenyewe pindi uwekapo line ebu jaribu kufanya factoryseting alafu weka line mkuu
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Una simu gani? Tafuta mtu mwenye Airtel internet kwenye simu yake, ingia settings za internet copy data za humo ndani.

  Ingia kwenye settings za internet simu yako dumbukiza settings, kwisha kazi.
   
 9. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Tatizo sio wewe tu wapo wengi sana toka 31/12/2010 watuwengi wamepata usumbufu na internet ya airtel. binafsi nilipata usumbufu huo nikafikiri labda pengine ni ile siku ya deadline ya kusajili. nikatumia line ya wife ikakubali na haikuwa registered( hakuwa imesajiliwa) siku ya jtatu siku tulipoanza rasi kazi nikakutana na watu wengine wenye problems hizohizo wapo ambao wamesajiliwa na wanapata usumbufu huo na wapo ambao hawajasajiliwa na zinafanya kazi bila problem. kwahiyo tatizo sio kusajili tatizo lipo huko airtel. ukipiga simu kastama kea hao wanaopokea nafkiri hawana taarifa ya haya matatitzo. sometimes matatizo yanatokana na uzembe wa mainjinia so inakuwa ngumu wao kutoa taarifa kama kuna uzembe kwao.
   
 10. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nikweli hizi laini zimekuwa na tatizo hili binafs mimi ninazo line tatu ila moja tu ndo inayo kubari huduma hii.kuhusu kastama kea hawa bwana nao huwa wengi hawajui na ukiwakomalia sana wakusaidie wanakuambia mtafute BDC aliye karibu nawe.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nikweli ata me nilipata hilo tatizo ila ss napata connection kama kawa ila huyu alotafuta msaada nafikiri ajaconnect net kabisa pls msaidie namna ya setting mkuu
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwa mtazamo wangu naona kama hii ya kang imekaa vizuri, maana inaonyesha ni kama tatizo liko airtel kukutumia hizo confrg setting ktk line yao ili usave.
  So jaribu kuziingiza manual kama alivyoshauri kang
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Unayo software ya NOKIA ya kukuwezesha ku-connect kwenye intanet...??
   
 14. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tatizo linaweza likawa ni zaidi ya handset, kama ni line mpya namshauri awasiliane na customercare liliwahi kunikuta hilo tatizo hata mimi.........nilifikiri tatizo ni setting za handset yangu, nilipokwenda mlimani city nikagundua tatizo line yenyewe haikuwa enabled
   
Loading...