Chizi computer kajitoa kwenye jamiiforums

jamani mbona cjaelewa au kujaza kurasa tu pls mods angalieni post zingine
 
jamani mbona cjaelewa au kujaza kurasa tu pls mods angalieni post zingine

Mkuu chizi kompyuta amekasirika ktk post inayosema: hii ikoje analogi to digitali.
Niliuliza jambo akatoa ufafanuzi wadau wakamchallenge kidogo akakasirika na kudai watu tunaeleweshwa hatubebeki tunazengua tu.
Na baada ya kupost hivyo akapost hii thread ya kuaga
 
sasa na hii nihabari ya teknolojia.?????
we dogo badili fani kuwa mtaalmu na mchambuzi wa siasa.
 
Mkuu chizi kompyuta amekasirika ktk post inayosema: hii ikoje analogi to digitali.
Niliuliza jambo akatoa ufafanuzi wadau wakamchallenge kidogo akakasirika na kudai watu tunaeleweshwa hatubebeki tunazengua tu.
Na baada ya kupost hivyo akapost hii thread ya kuaga

jamani mbona vituko mtu gani usotaka kukosolewa kwani yy anajua kila kitu humu duniani jamani au anataka tumbembeleze mbona vituko hivi uku simamia kile unachokijua na unauhakika nacho kinafanya kazi utopingwa na yyte yule humu jamvini
 
ila usihame jf kabisa kunamajukwaa mengi humu ndani chagua moja mkuu

Gonga soup kwanza utulize mzuka MS

old-fashioned-vegetable-beef-soup.jpg
 
if u cant handle critics, then u in a wrong field!.. if u really a computer guy, grab ur balls and keep goin!
 
kuna jukwaa la mapenzi pia kama siasa azijui

anatakiwa ake mbali hata na mambo ya mapenzi. kama hawa hawakawiii kujinyonga.hapa kakosolewa na wanaume wenzake analilialia sasa aki ........... Siasa ndio zinamfaaa tena za tanzania.
 
Huyu jamaa si alisema anajua kila kitu kwenye fani ya computer? mbona anatukimbia tena au u mchoyo wa kugawa maarifa?
 
Members wa 2010 mnazingua sana....huyu jamaa kuna mahali alitoa maelezo kuna jamaa aliomba msaada anamwambia inabidi u stop computer yako sasa computer unaistop vipi??kama hatujui vitu bora kukaa kimya na kuto onekana wajinga mbele ya macho ya watu kuliko kuongea pumba....zaidi mkuu njoo kwenye jukwaa la siasa tuumize vichwa pamoja na mapenzi usiondoke moja kwa moja.....
 
Back
Top Bottom