Wataalam wa Networking - MSAADA WA HARAKA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa Networking - MSAADA WA HARAKA!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Jan 4, 2011.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakuu, nina pc zangu kadhaa (3 to be specific!) zilikuwa zinashare broadband internet (on a wired LAN), pc ya chumbani nilikuwa natumia kama "server" kugawia net study room na living. Mwanzo connection ilipiga kazi flawlessly!..hv karibuni connection yangu ilipotea (tatizo la miundombinu ya ISP), walivyokuja kurekebisha waya zao, connection yangu inakubali kwenye pc ya chumbani tu!! na inaonesha error "Limited or no connectivity", nyingine zinaoesha error kama hiyo na hazipati internet kabisa!
  Nimejaribu mbinu kibao, Registry Fix, Static IP, Renew IP, lakini wapi!
  Nimebaki na maumivu tu wakuuu, hebu nijuzeni mbinu zaidi tafadhali!
  Asenti!
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  1. Jaribu kufanya connection repair kwenye hiyo PC(Server) on Vista right click connection icon(chini kulia) halafu click troubleshoot problems, XP nadhani kuna option ya repair. Angalia inasemaje.
  Win 7
  2. Nenda kwenye command prompt. Start search "cmd" kama upo Vista au Win 7 au Changua Run halafu type cmd kwenye Win XP.
  Andika.

  ipconfig /all

  Copy paste humu, fanya PC zote.
   
 3. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nna wasiwasi kuna PC mbili zina IP address moja, jaribu kuchek vizuri
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, Pc zangu 2 ni XP SP2, na moja ni Win7, nimejaribu kurepair hakuna kitu mkuu
  Dakika chache zilizopita wazo limekuja nikabadili "server", badala ya kutumia pc ya chumbani nimetumia pc ya study (zote xp) ngoma imeenda hewani na error zote zimetoweka! nikirudisha chumbani (Ni rahisi kuzima napofanya kazi late hours) ngoma inagoma, sasa angalau namjua culprit! Kwa sasa angalau kazi zinaenda, nikimaliza kazi nitarudi tena kwenye traboshutingi-nita "ipconfig/all" kisha nitaweka hapa log zote
  Asante tena mkuu!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Sidhani mkuu, nimeshacheki na hilo!
   
 6. r

  rpclem Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unatumia Windows XP na Auto DHCP? Kama ndiyo then,

  Jaribu kuzibua TCP/IP stack kwenye PC zinazosumbua, pia flush DNS ukiwa kwenye dos command type ipconfig /flushdns then press enter

  Jinsi ya kuzibua TCP/IP stack:

  andaa faili tupu kwenye partition yako liite resetlog.txt au jina lolote utakaloamua (c:\resetlog.txt)
  Kama ni XP nenda kwenye Start halafu chagua Run halafu chapa comand ifuatayo

  netsh int ip reset c:\resetlog.txt Bonyeza Enter Baadaye angalia hili faili kama litakuwa na output that means command imefanya kazi.

  Zibua winsock catalog kwa command ifuatayo:

  netsh winsock reset catalog Bonyeza Enter

  Restart computer yako jaribu tena kama

  N.B kwenye hizo command usikose blank space kama uonavyo
  Kila la kheri!
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana wakuu, nimeshapata solution!
  Tatizo lilikuwa kwenye router! kwa namna moja ama nyingine ilikuwa na ilibadili IP, nilivyo-restart tu everything went green!!!! simple solution heh! sikufikiria kuhusu hilo! teh teh
  THANX!
   
 8. smati

  smati Senior Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungeandika kichwa chemsha bongo!! Teh, teh!!!!
   
 9. edjizzo

  edjizzo Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chizicomputer
  0712484995
  edjizzo@yahoo.com
  sikia kuelezana humu kwa maneno ina itaji mlolongo mlefu kama una itaji more information call
  tuta kueleza
   
 10. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nunua wireless router uitumie kama switch kuconnect hizo PC ila unaweza zima wireless na kutumia nyaya tuu kama unaogopa kuibiwa link, yenyewe huwa inatoa dhcp achana na kutegemea computer moja kulisha nyingine itakusumbua na ni lazima usiizime hiyo computer.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huoni kwamba maelezo ya maandishi ni mazuri na nafuu, na tena yanafikia wengi kuliko simu? Ungemwaga hapa maujuzi kaka watu waongeze nondo vichwani! Lakini usijali, nimeshapata simple solution kutoka kwenye maandishi ya wataalamu!
  Thanx
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, wazo zuri.
   
Loading...