Msaada program ya kunlock simu za mkononi, sio modem lakini

Dansel

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
249
59
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu
 
Kama alivyokushaauri jamaa hapo juu huo ni mtandao 1ja tu kuna torrents site nyingi. Unaweza ku google neno top ten toorents website ukajua wapi pa kuzipata. Then kwenye torrent site tumia maneno kama aliokupa jamaa.

Alafu usigonge watu bei kubwa ukianza kufanyia biashara teh teh teh
 
Asanteni kwa ushauri wenu najaribu hiyo torrent.Hahaha Mtazamaji mi nataka kuongeza ujuzi 2 na sio biashara
 
Nimeijaribu hiyo torrent lakn sehemu moja ina nimakiza akili na kunitia hasira inaniambia Before hujadownload inatakiwa U sign up na nikisaiini up nakuwa sina visa card pale inapotaka ujaze namna utavyofanya payment
 
nimeijaribu kudownload lakini mambo kidogo yamekuwa mabaya coz wananiambia ni sign up alafu ukisaini up wanahitaji visa card number, sasa cjui kama kuna alternative nyingine
 
Wapi Drphone na calvin power toeni michango yenu
 
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu

mkuu cm zote na zingine zilisumbua cana kipindi fulani ila now ni raha tu nakama unataka kuzifanyia kwa code sizani kama utapata kwa bure ila jaribu kwani cjui kila k2 ila ushauri wangu nunua box or unloking clip box kinasapoti vyote hivyo cm kipo simple ni plug n play
 
Nimeijaribu hiyo torrent lakn sehemu moja ina nimakiza akili na kunitia hasira inaniambia Before hujadownload inatakiwa U sign up na nikisaiini up nakuwa sina visa card pale inapotaka ujaze namna utavyofanya payment

mkuu akuna cha bure dunia hii
 
Asante Drphone nitajaribu hilo box maana hizi za kudownload ni balaa

kama unazo nyingi unahaja ya box nunua tu clip na kina sapoti cm nyingi sana mkuu kama vp ni pm kwa maelezo ya faragha
 
angalia hiyo huenda ikakusaidia
 
Attachments

  • DITS GSM Finder v2.0.5.rar
    1.1 MB · Views: 95
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu

kaka mkubwa simu za zte na huawei ujanja wake ni kuwa na infinity box tu.hata mimi kote huko nimepitia. lakini kama alivyo sema dr4ne kwamba dunia hii hakuna cha bure.ha!haha!ha!ha!h!aha!!!!! embu jaribu kutembelea hapa unaweza kujifunza kitu. unlockme.com: The Best Search Links on the Net
 
kwa yy clip inamfaa kwani inasapoti vyote alafu akiitaji instalation wala uzoefu just plug n play na kubofya kitufu infinity unaitaji instalation maelekezo namna yaku2mia na yy kasema sio fundi just kuongeza maarifa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom