Windows 7 Ultimate

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
9
Wataalam wenzangu,

Nimekuwa niki-experience version tofauti za Windows tangu Windows 95 mpaka sasa Windows 7.

Kikawaida nikiwa home kwangu, huwa na-disable automatic Windows Update na Kaspersky automatic Update ili nipunguze gharama za kutumia internet ktk modem yangu, ila nikiwa ofisin nafungulia mabomba yote ya automatic update.
Sasa cha ajabu tangu nianze kutumia Win 7 mambo ni tofauti. Nime-disable auto updates za windows na anti virus lakin nikiweka 1,000 inaisha ndani ya dk 1, tena hapo nakuwa nimefungua Yahoo Messenger tu, wakat nilipokuwa Win Vista ningeweza kukaa na Messenger hata masaa 6. Sasa nimeona nilete hapa hili tatizo tusaidiane, Je ni tatizo la Windows kuwa na hidden auto updates nyingine au inakuwaje?
 
kwanini ujibane tumia Zain. 2500/= unapata mb400 sasa sidhani kama auto updates zitakula mb400 kilasiku. uta enjoy tu
 
Back
Top Bottom