Xiaomi Redmi 10C Vs Samsung Galaxy A03s: Ipi ni simu bora?

Xiaomi Redmi 10C Vs Samsung Galaxy A03s: Ipi ni simu bora?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,583
Reaction score
15,470
.
 
Attachments

  • redmi_10c_4128gb_1652936177_8621203a.jpg
    redmi_10c_4128gb_1652936177_8621203a.jpg
    35.6 KB · Views: 128
  • d3a4cfdc0785717c8437369ff30a798c.jpg
    d3a4cfdc0785717c8437369ff30a798c.jpg
    38.8 KB · Views: 141
  • Xiaomi-Redmi-10C-Review-New-Powerful-Budget-Smartphone-9.jpg
    Xiaomi-Redmi-10C-Review-New-Powerful-Budget-Smartphone-9.jpg
    66.8 KB · Views: 151
  • csm_IMG_20211213_12133657_97dc6417fd.jpg
    csm_IMG_20211213_12133657_97dc6417fd.jpg
    72.6 KB · Views: 145
  • gsmarena_015.jpg
    gsmarena_015.jpg
    52 KB · Views: 124
  • redmi-10c_2.jpg
    redmi-10c_2.jpg
    39.7 KB · Views: 131
  • 0bc91047df2e86b92dfece54b4ae4005.jpg
    0bc91047df2e86b92dfece54b4ae4005.jpg
    24.7 KB · Views: 167
Redmi 10C.

Pia A03s inapitwa na A03, kama unachukua Samsung vyema tafuta hio A03 na bei isizidi 280,000

A03 - 280,000 kushuka
Redmi 9 - 280,000 mpaka 300,000
Redmi 10C- 310,000 mpaka 350,000

Hizo ndo simu bora kwa hizo budget.
 
Chukua Xiaomi redmi 10c ndo ninayotumia sasa kiukweli sijutii hata yaan mpaka nahisi ni flagship [emoji91] hii chuma kwenye picha iko vizuri asee
 
Mkuu unaweza kupiga picha kwa Redmi 10C halafu uipost niione, nakuomba tu tafadhali maana kuna rafiki yangu alinionesha simu yake inavyopiga picha (Redmi 10C) ila kwa picha alizopiga hata Redmi 9C ina afadhali, itakuwa yake ina shida au ni feki
Kwa hiyo nakuomba unioneshe walau picha moja 2
Mkuu kama wewe mahitaji yako makubwa yapo kwenye picha si ununue pixel tu ili uridhike...!

Kwa budget yako tafuta pixel 3a/3axl then utakuwa umejaribu kulimaliza hitaji lako la picha nzuri Kwa kiwango kikubwa sana kuliko kununua hizo simu tajwa
 
Aah, mkuu siwezi kurudi Android 8 mimi
Halafu bado miezi minne tu iingie 2023, bado niwe kwenye Android 8 mkuu? No........
 
Redmi 10C.

Pia A03s inapitwa na A03, kama unachukua Samsung vyema tafuta hio A03 na bei isizidi 280,000

A03 - 280,000 kushuka
Redmi 9 - 280,000 mpaka 300,000
Redmi 10C- 310,000 mpaka 350,000

Hizo ndo simu bora kwa hizo budget.
Mmh.... Redmi 9 ni wapi unapata kwa TSh 280,000 mpaka TSh 300,000
Sehemu nyingi nakuta inafika hadi TSh 400,000
 
Tigoshop 32gb ni 280,000 64gb ni 300,000
Sasahivi si wamesema ziimeisha? Nilieenda wakasema hawana, ni simu ya muda tangu 2020, kwa hiyo hii 2022 hawana hiyo simu
Ambayo wanayo ni Redmi 9C 3/64GB TSh 300,000/= na Redmi 10A 3/64GB TSh 320,000/=
 
Redmi 9A na 9C zimetoka muda mmoja na 9, sijui kama zimeisha huko Tigo ila miezi kadhaa mwaka huu huu niliziona.

Ukikosa Tigo unapata Kenya kama una Connection, nako chini ya laki 3.
 
Redmi 10C.

Pia A03s inapitwa na A03, kama unachukua Samsung vyema tafuta hio A03 na bei isizidi 280,000

A03 - 280,000 kushuka
Redmi 9 - 280,000 mpaka 300,000
Redmi 10C- 310,000 mpaka 350,000

Hizo ndo simu bora kwa hizo budget.
Ngoja tuone
IMG-20220902-WA0002.jpg
 
Mkuu unaweza kupiga picha kwa Redmi 10C halafu uipost niione, nakuomba tu tafadhali maana kuna rafiki yangu alinionesha simu yake inavyopiga picha (Redmi 10C) ila kwa picha alizopiga hata Redmi 9C ina afadhali, itakuwa yake ina shida au ni feki
Kwa hiyo nakuomba unioneshe walau picha moja 2
Saa 9 kasoro pic imepigwa
IMG_20220827_175817.jpg
 
Back
Top Bottom