Wakuu nina swali hapa, juzi Kati nilikua nimechil zangu nisema ngoja nitupie picha. Sasa nimeshindwa kuelewa kabisa wakati naangaika kujipiga, nikaona kama inashek shek hivi yaani nikama zile TV za tamani unakuta kama network inapotea, ni kama mawimbi upande mmoja usoni hii ipoje wakuu au nikawaida kutoea