Simu yangu inajipiga

Simu yangu inajipiga

Untaste Bug

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
82
Reaction score
88
Habari wanaJF,

Sometimes nakuta missed calls [emoji338] kwenye simu yangu ila ni namba angu nayoitumia inapiga kwa SIMCARD hii hii au ingine yaan laini ingine iliyoko kwenye simu yangu.

Tatizo ni nini hapa na nifanyeje
 
Habari wanaJF, sometimes nakuta missed calls [emoji338] kwenye simu yangu ila ni namba angu nayoitumia inapiga kwa SIMCARD hiihii au ingine yaan laini ingine iliyoko kwenye simu yangu. Tatizo ni nini hapa na nifanyeje

Niliwahi kuwa natatizo hilo nilienda mlimani city bado walikataa hilo kuwa haliwezekani basi milikuja kuisha baada ya ku renew line
 
Sorry, nipe ujuzi yawezakua nime allow nisichokijua kwenye baadhi ya Apps
Kuna spoofing softwares zinatumikaga ku spoof call from a number. Anaweza pigiwa mwingine pia na akakuta miss call inatoka kwako wakati hukumpigia.

Spoofer kapataje namba ni issue za ki internet huenda kuna apps unatumia ama ads ama sites unatembeleaga zenye ads zenye trackers.

Kama they got you randomly then watapotea wenyewe. Ila kama they got you purposely wataendeleza interest zao.

Either ignore the calls ama swap the simcard.
 
Back
Top Bottom