Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tafadhalini wajemeni wenye uelewa wa haya mambo ya technology, naomba sana msaada wenu. Nina laptop yangu nimeweka window mpya ya darklite version 2009.. the problem come niweka flash disk kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu ninahitaji kupata user name unlocker, ambayo iko strong. kunamoja niliipata How to Hack: Ethical Hacking and Cyber Security | Go Hacking tatizo ina process ndefu mmno. halafu inabagua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kutembelea sehemu mbalimbali za nchi yetu, ni wazi tulipo sasa tumeshaka karibu miti yote kwa ajiri ya kutengenezea mkaa ambao unatumika kama nishati kwenye nyumba nyingi kuanzia vijiji...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nimenunua jumamosi tar 22/12/2011 USB TV/AV Combo tuner with FM radio, CD ya drivers ni ya 32 bit windows na mimi natumia 64 bit windows 7. Naomba kama kuna mtu anatjua wapi naweza kudownload...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JAMANI NAOMBENI MNISAIDIE JINSI YA KU CRACK SERIAL NAMBA ZA HII SOFTWARE SpeedUpMyPC NIMEJARIBU NIMESHNWA....THRU THIS FIELD NAJUA KUNA MA CRACKER WENGI SANA.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Post hapa tatizo lolote ulilonalo kuhusu modem yako kama unataka kuichakachua faster Hii itawasaidia na wageni wa jukwaa hili Wahi sasa
0 Reactions
42 Replies
5K Views
HEELP!! Ntapataje 2gb kwa wiki kwnye modem ya zantel? Sina line ya zantel but i just bought a modem...any help will be greatly appreciated!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Vista Error Fix, Windows Error Fix, XP Error Fix When you try to run Task Manager in Windows Vista or in XP,sometimes you receive an error message that says; Task Manager has been disabled by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wataalamu wa JeiEff! Hey guys! Naombeni mnisaidie kitu..... Nimeweza kuback up sms zangu kwenye pc....wakati nazisave nilipata option mbili kuzisave kama TAB file au Comma separated values...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhilini wakuu,naomba msaada wenu,iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera nimekosa,je ni simu yangu kimeo,mie mshamba au nnini?tafadhali mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na thread watu unapeana ufahamu wa mambo mbali mbali kuhusu misamiati. niliyotaja hapo juu Nimeamua kufungua uzi tuelimishane tukosoane kistaarabu kwa lugha nyepesi ili...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Can any one volunteer to give a recipe of making home made grape wine
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu tafadhali.iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera lakini nimekosa,je ni ushamba wangu,au mchina kafanya vitu vyake?Kama kuna mwenye kuijua tafadhali anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhilini wakuu,naomba msaada wenu,iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera nimekosa,je ni simu yangu kimeo,mie mshamba au nnini?tafadhali mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
838 Views
What follows is a discussion which really needs a thought. Social networking is one of the growing services provided by the internet. Though most people and businesses use the service around the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi members, laptop yangu inatatizo la kuboot, nimetest CD-Drive, na HDD ni nzima zina boot kwenye mashine nyingine, nimejaribu kuformat inasoma CD, nikopress any key haindelei, help plzzzzz
0 Reactions
26 Replies
5K Views
– Tue Jan 18, 4:02 pm ET Get ready for the next generation of passenger airplanes. NASA has taken the wraps off three concept designs for quiet, energy efficient aircraft that could potentially...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau screen yangu ya Laptop aina ya IBM ThinkPad T30 imekufa, sasa nataka kuibadilisha, je zinapatikana wapi hapa Bongo na kwa bei gani? Mdau anayejua naomba msaada jamani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom