Msaada wenu wakuu wahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu wakuu wahitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by anania, Feb 8, 2011.

 1. anania

  anania Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu Calvin na dr.phone msaada wenu wahitajika,niliichakachua modem ya ZTE model K-3565-Z kwa kutumia DC-Unlocker kwenye report ikaonyesha sim status ipo unlocked,Sikuweza kutumia sim card ya airtel kwani nilishindwa kupata join air kwani iligoma nilipokuwa na download.Niliendelea kutumia sim card ya voda ikafika kipindi ikawa ikawa inashindwa kuconnect na kutoa taarifa kuwa ni error No.619 ,watu wa voda nilipo wapigia wakaniambia inatakiwa ku uninstall nikafanya hivyo hapo ndipo nilipo jipiga mtama.kwani kilanikijaribu ku install computer inashindwa kusoma sioni kitu kingine zaidi ya kusikia sauti ya kuconnect modem kwenye computer.Ni fanye nini hapo au ndio imekula kwangu.msaada wajameniiiii.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama hii post umewakudia wao tu, ni bora unge wa pm, maana watu wanaipitia lakini wanaona inahusu watu maalum. Hukuwa na haja kuweka hapa jamvini unge wa pm tu.
   
 3. moulaa

  moulaa Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mgeni Umezungumza Point itabidi Mkuu Anania awa andikie hao watu 2 yaani ( Mkuu Calvin na dr.phone) Kwa P.M ili wamsaidie.Angelisema hivi Wakuu wa J.F. nawaombeni msaada sio kuwataja watu kwa majina Mkuu Anania wangojee hao hao uliwataja kwa majina watamsaidia .
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona unasema ki.wivu wivu? Kana kwamba hujatendewa haki.topic ya bwana mdogo inajieleza inamhusu dr.na cpw.so wewe na mimi ni watazamaji tu.sio kila mcheza mpira lazima aingie uwanjani.anaweza kubaki benchi na kuwa mshangiliaji tu.
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kama ni kijijini kwetu unaweza kukamatwa na kupigwa faini za kijadi.mtu anashida na dr4ne na cvn. Afu nyie muone kama anania hajawatendea haki.kwani anania hajui kwamba kuna watu kibao wenye uelewa mkubwa kuliko hata cavn power na phone doctor?hata hii kitu PM haifai watumie.yafaa waweke hapa peupe ili sisi washangiliaji tuone na tujifunze kupitia wao.yaani wanajf wenzangu tutaipotezea jf umaana wa home of great thinker
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Mi naona sio suala la wivu, msaada anao uhitaji nahisi wapo wengi wanao uwezo wa kumsaidia, tatizo ni kwamba anahitaji watu maalum wamsaidie, je unauhakika hao alio wataja wanauelewa wa jambo hilo? kwani hakuna anae juwa yote duniani, je ana uhakika hao watu wapo?, hii post leo ni siku ya pili bila wao kutokea kumsaidia.
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mkuu hapo sasa ndio ajue kwamba kuna umuhimu wa kutoa topic za public ili kuweza kupata msaada zaidi.lakini ki ukweli huwezi kumsaidia mtu asie hitaji kusaidiwa.ndio maana hapa jf kuna forum kibao ikiwa na maana kila mtu atapata msaada kutoka jukwaa husika.hivyo hivyo anaweza kumpointi mtu flani ili apate anachoamini atasaidiwa.
   
 9. anania

  anania Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Halo wakuu kiufupi sikutegemea kama italeta impact kubwa kiasi hicho nadhani kikubwa nilicho kuwa nahitaji ni msaada.Nina kiri kuwa niliandika nikiwa katika stress na nimewakwaza watu wengine naombeni msamaha kwa hilo kwa yeyote atakayekuwa amekwazika.Samahani sana tana sana wana jamvini.
   
Loading...